Mwenzako nimemfafanulia hapo juu sioni sababu ya kunidhihaki endapo kuna sehemu haujaelewa kutokana na makosa ya uandishi ungeuliza tu mkuu. Sio wote humu tunaweza kuandika vemaMkuu hata Mimi imenishangaza huyu kijana ni muongo au kawaka
Unahakika hao wote uliokula hawakua na ugonjwa?Nilichinja mbuzi mkuu na nilitoa sadaka pesa za kufanya ujinga nikasaidia wenye uhitaji
Unaogopa ukimwi,,njoo hapa ocean road uone watu walivyotafunwa na saratani za koo na kadhalika,, ni hatari kabisa mkuu,, kuna maradhi kumbe afadhali ya huo ukimwiNilichinja mbuzi mkuu na nilitoa sadaka pesa za kufanya ujinga nikasaidia wenye uhitaji
Nipo upande wako cheifHujaelezea kwanini wewe haujaupata sasa. Umeniacha njia panda apo.
ILA
Ipo siku hili Dili LA ukimwi wafrika tutajuaga ukweli wake tuuu ... kuna vitu najiulizaga juu ya huu ugonjw Sana.
Kwa hiyo hutadinya?Nishasema ivi, raha ya dk 1 (when ejaculating) haiwezi nipotezea dira na mipango ya maisha ya miaka 70
Leo mara ya 4 napima naambiwa sina itakuwa sina kweliNilikuwa na tabia ya kuwabadilisha wanawake Mbalimbali kwaajili ya ngono, siku za weekend nikiwa free hadi watatu kwa siku, kama makahaba wanaojiuza wa kujipanga kujiuza nimetembea nao hawana idadi na barmaids kibao hawana idadi pia ( Kundi hili ni hatari zaidi) na wote hao sikutumia kinga nilifanya ngono zembe.
Ujanja wangu nikapatikana kwa binti wa miaka 18 tu akiwa mbichiiiii anawaka kama jua la saa sita, Nimekuwa nae hatimae akapata ujauzito na mpango wangu ulikua kumuoa kwasababu nilikolea haswaa, baada ya kujifungua ikapita miezi 7 akaniambia clinic ameambiwa amuachishe mtoto kunyonya kwasababu yeye ana Ukimwi. (Sijui ushujaa huu wa kuniambia alioutoa wapi)
Nikashangaa sana kwasababu nilikuwa nimetoka kupima sio muda nikiwa peke yangu... Hivyo nikaamua kumtaarifu mama yake juu ya taarifa hii kumbe wao wote huko kwao walikua wanafahamu habari hii ila mimi walikua wananificha na waliamini mimi ndio nimeleta ugonjwa kwa mtoto wao,
Baada ya mimi kulia na kupagawa sana nikaamua Kwenda kupima tukiwa wote mimi, mchumba wangu na mtoto pamoja na shahidi wa upande wa binti ambae ni mama yake mkubwa, vipimo vikawa mimi na mtoto ni wazima ila mchumba ni kweli hiv+.
Tokea hapo ndio niliitambua thamani yangu hapa duniani. hakika nimekoma tabia ya kuruka hovyo na wanawake bila tahadhari.
Enyi Madume menzangu mliopo kwenye ndoa kuweni na utaratibu wa kupima na wake zenu kwasababu lolote linaweza kutokea mtu ukajiokoa na maradhi haya.
Majibu ya mtu mmoja hayatoshi kuthibitisha afya yenu hasa tunavyowatumia wanawake kama vipimo vyetu wanapoenda clinic.
Tuwe makini bado tuna safari ndefu ya kuwafikisha watoto wetu katika ndoto zao.
Naamini amechochea soma umuelewe ndaniwalahi,kuna watakaokua wameepuka kifo
Kwa idadi ya niliowakula ni kubwa na makundi hatarishi hivyo naamini hawakosekani walio na Hiv+. Hebu fikilia mtu katwangwa risasi 30 nk na yupo hai na yule wa risasi moja amezikwa na tumemsahau. Hizi ni neema za Mungu pekeeUnahakika hao wote uliokula hawakua na ugonjwa?
Wewe umenusulikaje?
Hoja za Decemption hizi
Hakika mkuu hilo halipingiki, japo kuwepo kwa saratani kusitufanye tusahau kuna magonjwa ya kuambukizwa kama VVU na INI. unapokua hai ukipata nafasi ya kusemea chochote kwa manufaa ya jamii bora useme.Unaogopa ukimwi,,njoo hapa ocean road uone watu walivyotafunwa na saratani za koo na kadhalika,, ni hatari kabisa mkuu,, kuna maradhi kumbe afadhali ya huo ukimwi
Umri bado mdogo huwenda alizaliwa akiwa na hilo tatizo.Miaka 18 na ana ngoma? Dha
Kwa nini huja amini mpaka umepima mara nne.Leo mara ya 4 napima naambiwa sina itakuwa sina kweli View attachment 897888
Mkuu ukweli sijajua kwanini sijapata naamini ni mipango ya Mungu pekee alikuwa na malengo yake, kwasababu kuna wakati nilikuwa napata hadi michubuko na nilikuwa rafu sana kwenye hilo.
labda kibaiolojia kuna sababu za msingj zaidi
Umesoma kuanzia kulia kwenda kushoto.Umemuambukiza mtoto wa watu ..ovaaaa
Nilikuwa na demu nimekula peku sana niliambia ana ngoma kila nikipima nasubiri miezi 2 naenda kupima tena leo ndio ya mwisho sipimi tena itakuwa nipo poaKwa nini huja amini mpaka umepima mara nne.
Mkuu nimepitia maelezo yako lakini ni kama mchumba wako huwenda anahili tatizo kitambo na hakutaka kukwambia maana mwanamke akishapata ujauzito mwanzoni kabisa kliniki anachekiwa ili kujua status yake kama anatatizo wanaanza utaratibu wa elimu na kumsaidia asipeleke maambukizi kwa mtoto,sasa kwanini akae kipindi chote hadi ajifungue na anyonyeshe kwa miezi 7 ndio aache kunyonyesha na kukwambia?
Kuhusu wewe kutopata maambukizi huwenda huyo binti alijijua kitambo hari yake na akawa katika mpangilio mzuri wa dawa,wanadai mtu akiwa katika mpangilio mzuri wa dawa kwa kipindi cha muda fulani mwanaume akija kumwingia peku hawezi pata tatizo,hebu fanya kuchunguza.
Nitadinya taraatiibuKwa hiyo hutadinya?
Mshukuru Mungu na uchunge sana nyendo zako kwa manufaa ya familia yako. Mwanza wanasemaje huko Mkuu?Leo mara ya 4 napima naambiwa sina itakuwa sina kweli View attachment 897888