UKIMWI unavyotafuna vijana

Kumbuka ARV zinatolewa kwa hisani ya watu wa Marekani ambao siku hizi tunawaita mabeberu.
 
Mtoa mada naomba nikuulize, na unijibu, toka huo ukimwi wako umegunduliwa na unasema ni hatari sana je kiwango cha watu kimeongezeka au kimepungua? Tuanzie hapo kwanza
 
Kila mmoja akae na familia yake aielekeze UKALI wa Mungu kwenye maasi.

Aielekeze jinsi ya kuijikinga na matumizi ya vitu vyenye ncha kali kwa kuchangia.

Lakini sana sana kuwafundisha watu kumuogopa Mungu katika kufanya ZINAA.
 
Kwani amri ya usiue ina maneno mangapi ..

By the way ukimwi hauuwi kinachoua Ni magonjwa nyemelezi.
Uzi ungekuwa unahusu kuua na wenyewe ningeandika hivyo hivyo Mkuu

Hayo nyemelezi yamewezeshwa kuua na huo ukimwi usingekuwa nao usingekufa
 
We mpumbavu sn, kulikuwa na haja gani kumtaja kibonde? Hufikirii anaweza kuwa na Ndugu na jamaa humu? Wajisikiaje unapomtaja kwenye mada km hii? Kuwa na heshima assume km angekuwa mpendwa wako halafu unakutana na comment km hii? Senziiiiiii
Kwanini mtu akifa kwa ukimwi kutajwa sababu ya kifo chake inakuwa shida wakati magonjwa mengine yanatajwa kama maralia, kansa, tezi nk ukimwi una shida gani?
 
Wapumbavu ni moderators ambao comments kama hizi wanaziacha tu. Wakati ilibidi awe kashakula BAN...
 
sawa tunaomba list ya nduguzo, jamaa na marafiki wenye ngwengwe uiweke wazi kutusaidia na kuwasaidia walio maeneo ya jirani nao kuepuka hili.

Abdallah Kadidi
Rehema Kadidi
Mwantumu Kadidi

Hawa ni ndugu zangu wa kuzaliwa, mmoja kati ya hao niliowataja ni mtoto wa baba mdogo. Wawill wako Tanga mjini, mwingine yuko handeni.
 
Kwanini mtu akifa kwa ukimwi kutajwa sababu ya kifo chake inakuwa shida wakati magonjwa mengine yanatajwa kama maralia, kansa, tezi nk ukimwi una shida gani?
Pumbavu taja ndugu zako kwanza..
 
Kwanini mtu akifa kwa ukimwi kutajwa sababu ya kifo chake inakuwa shida wakati magonjwa mengine yanatajwa kama maralia, kansa, tezi nk ukimwi una shida gani?
Tangu lini ukaua ?? Ukimwi hauui ndio maana huwezi kukuta wanatangaza mtu kafa kwa ukimwi .. Kinachoua Ni magonjwa nyemelezi Tena umeyataja hapo..
 
Grid ya taifa kutokana na kidonge kwa sasa aitishi sana zamani ikikupiga unaonekana kama msomali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…