sawa tunaomba list ya nduguzo, jamaa na marafiki wenye ngwengwe uiweke wazi kutusaidia na kuwasaidia walio maeneo ya jirani nao kuepuka hili.Unasema ndugu, hata ikitokea mimi ninao najitaja. Siri ndio zinachangia maambukizo yanazidi watu wanadhani hilo gonjwa limeisha.
Umeanza lini kusikitikia upotevu wa uhai wewe?
Umewahi kuona watu wakiona aibu kumtaja mgonjwa wa malaria?
Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Mkuu hali inatisha wakati huo huo watu wengi bado wanachukulia masihara
Sawa, ila unaweza kujenga hoja bila kutaja waliotangulia mbele ya haki.
Tuwe na staha hasa kwenye kunyooshea wenzetu vidole wakati nasi tuna makandokando yetu.
We mpumbavu sn, kulikuwa na haja gani kumtaja kibonde? Hufikirii anaweza kuwa na Ndugu na jamaa humu? Wajisikiaje unapomtaja kwenye mada km hii? Kuwa na heshima assume km angekuwa mpendwa wako halafu unakutana na comment km hii? SenziiiiiiiUkimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu
Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Acha upuuzi,Usipotaja watu hawaogopi na kuchukua hatua maana wanaona watapata staha. Pia ukitaja ni rahisi watu kukaa mbali na wale walioatajwa na aliyetangulia mbele ya haki. Marehemu Nelson Mandela alioonyesha njia kwa kumtaja mwanawe hadharani.
Kwenye ukoo wenu nahisi mna matatizo ya uendawazimu sio bure.Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
....siku dawa ikipatikana nitaenda kupima lakini hii yakwenda kupima nikaanza kuishi kwa kubeti mda hapanaWe utakua nao afu istoshe unaexperience ya maumivu ya roho
Mi Niliwah Pima majib ya mwanz yakawa tata..... Asee niliwaza vingi sana ktk age ya 25" """"" Ningekufa kwa stress lkn kilichonipa moyo ni mpenz angu baada ya kupima akawa fresh. ......hvo nilkaa 6month nikaenda Pima tena nikawa poaaaaaaàaaaa sitasahau.....moja ya kitu kinachoua kupitia Ukimwi ni Stress Over""
N.B
Ukimwi Upo na Unaua[emoji350]
Ukimwi unaua Sana , tena unakata ghafla tuu, we ukisikia mtu amekata ghafla et Kwa ugonjwa wa mda mfupi, pigia mstari ngwengwe hiyo, Ephraim Kibonde in advance, na huyo bi mdada wa Cheka tuu