Tuttyfruity
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 2,414
- 6,394
Mimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Sijui kama nimekuelewa vizuri hapo mahali. Wanaosema ni malaria au uti kali ni wapimaji au ndugu?Miaka kumi ijaoyo watu maarufu na vijana wanaoonekna nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Na kinyume chake je?ishu pale nitapo ambiwa sio mzima ndo tatizo litakapo anzia.
sawa mkuu.Na kinyume chake je?
Nafahamu ya kuwa kupima kwa mara ya kwanza inataka Ujasiri wa hali ya juu, ila jikaze Kiume na uende kupima.
Ondoa Hofu
Safi sana Kiongozi.sawa mkuu.
Tukianza kukubali kuelewa upande wa pili kwamba hakuna HIV duniani,hapo ndipo tutakapopata ukombozi wa kweli kifikra na hutaona tena watu wanahangaika na HIV.Miaka kumi ijayo watu maarufu na vijana wanaoonekana nyota wengi watakuwa wanaishi kwa matumaini
Nijambo ambalo sio siri na nina dhani Serikali pitia idara nyeti ya taifa kiusalama ni muda mmuwafaka wakaliangalia hili kwa macho sita watu wanakufa na ukweli hausemwi ila walio na macho ya mbali watakubaliana nami 99% ya vijana na watu maarufu nyuma yake kuna siri ya hiki kirusi ila hakuna anayesema tunaishia sema malaria na UTI kali.
Tunasahau kuwa kushuka kinga ya mwili huleta hayo magonjwa kwa kiwango kisichodhibitika.
Nani aliokoe taifa nani asimame kuwaambia vijana na watanzania Ukimwi unatumaliza silence na kesho yetu ni ya mashaka.
Mzee baba ushawahi meza ARVs? Achana na hiyo kitu unaweza ukaomba ufe tu. ARVs sio dawa simple kama unavofikiria. Nenda kituo cha afya waambie unahisi umepata maambukizi. Iwe withinin 72hrs. Watakuapatia ARVs umeze kama PEP. Alafu uje utupe mrejesho hapa.
Ndio unafichwa kwa namna hiiSawa, ila unaweza kujenga hoja bila kutaja waliotangulia mbele ya haki.
Tuwe na staha hasa kwenye kunyooshea wenzetu vidole wakati nasi tuna makandokando yetu.
Huo mstari haujamaanisha mambo ya ukimwi, una lengi njema zaidi sio kwa ajili ya kinga ya ugonjwa, kwani ukimwi unaweza upata hata kwenye ndoa yakoAmri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi
Utadhani umeambiwa virus ni protinMimi hata siogopi ukimwi, ninacho ogopa ni magonjwa mengine ya zinaa, hata hivyo tayari yanatibika kirahisi, kwahiyo siogopi tena.
Ingekuwa ukimwi unafanya kazi kweli basi hakuna aliye salama.
Isitoshe ARV zipo na zinatolewa bure kabisa, na hakuna cha kuogopa tena.
Acha porojo, hii ndo shida ya watanzania mkisoma vijarida vya udaku mkaona kwamb kuna vifo vya ghafla bas mnachukulia wote ni ngoma
kitakwimu marelia inaua kuliko ukimwi na hatujaisha, ko mawazo haya yanabaki mawazo ya vijiweni
Amri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi
Wabongo wanavyojua sana kurahisisha mambo, kila Mtu Mwanasiasa.Mzee baba ushawahi meza ARVs? Achana na hiyo kitu unaweza ukaomba ufe tu. ARVs sio dawa simple kama unavofikiria. Nenda kituo cha afya waambie unahisi umepata maambukizi. Iwe withinin 72hrs. Watakuapatia ARVs umeze kama PEP. Alafu uje utupe mrejesho hapa.
Amri ya saba
USIZINI
Neno moja tu lakini linakuepusha na mengi ukilitii ila usipolitii utapatwa na mengi
Anza na wewe kwa kuandika kwenye usia wako.Ila kuna haja ya kutoa historia ya ugonjwa unaowaua watu siku ya wosia wa marehemu bila kuficha , kama amekufa kwa ukimwi basi kila mtu ajue, itasaidia sana italeta funzo sana