UKIMWI umeua wengi jamani

Hivi mnajua kwanini anajiita mbuzi na kuku?chakula hiyoo
 
Yaani unaandika maneno yako bila ya chembe ya ubinadamu ! Si bora ungekaa kimya tu kuliko kutoa ujinga wako hapa ?! FYI umebaki peke yako mwenye mawazo hayo ![emoji35] [emoji35]
 
Kibaya na cha kusikitisha zaidi kadiri tunavyo hamasishwa kujikinga na huu ugonjwa ndio maambukizi yanakuna kwa kasi sana kuna siku nipo muhimbili nilimsikiza best yangu kufuata vidonge vya kuongeza siku kwenye ile foleni wengi kwa kukisia wapo below 35,halafu ni ngumu kuwatambua aisee maana wapo kawaida mno jamani ukimwi upoo.
 
Yaani unaandika maneno yako bila ya chembe ya ubinadamu ! Si bora ungekaa kimya tu kuliko kutoa ujinga wako hapa ?! FYI umebaki peke yako mwenye mawazo hayo ![emoji35] [emoji35]
Roho mbaya
 
ukimwi upo bwana usijidanganye kwa ngozi zilizonawiri na unene. ARV on action siku hizi niliskia wana wapa hata wanyama kama kuku na ngombe wananenepa kinoma sasa wasiwasi wangu ni side effect za huyo mnyama kwa binadamu.
 
Avatar yako inaonyesha umevurugwa
 
Acheni ngono zembe na mkiweza msubiri,Mi sasa hivi nshaamua sidate na mwanaume hadi tukapime..Maana kuna watu nliwahi kuambiwa wameathirika sikuamini..Sasa ntajuaje kwa mtu wa kukutana nae njiani??
Umenena vyema sana. Ni vizuri mkapima kabla ya kuanza mahusiano, but take care baadaye msijiachie kwa sababu unaweza ukajiaminisha mpo safe coz mmepima before, kumbe huku mwenzio anatoka nje na bado anarudi kwako. Mlikuwa safe hadi siku ile mliyopima, baada ya hapo msipokuwa makini lolote laweza kutokea. Kila la kheri kipenzi
 
Yaani unaandika maneno yako bila ya chembe ya ubinadamu ! Si bora ungekaa kimya tu kuliko kutoa ujinga wako hapa ?! FYI umebaki peke yako mwenye mawazo hayo ![emoji35] [emoji35]
Sawa. FYI maanake nini?
 
Hizo ni projects za watu huko majuu ndo maana dawa ya kutibu haiwezi kuletwa ili serikali zetu ziendelee kununua ARV kwa mamilioni ya shilingi
 
Ukimwi umeuwa wengi ni kweli,
Dah roho inaniuma sana wajomba zangu wawili wamekufa na HIV mpaka leo huwa naumia sana nikiwakumbuka, wamekufa wakiwa vijana wadogo sana,
Mwezi uliopita nilikwenda kijijini kwetu kusalimia, bibi yangu akawa ananipa siri kuna watoto wa kike wa marehem mama yangu mkubwa wote wanatumia ARV... Dah roho ilizidi kuniuma sana,
Ukimwi upo na hutajua kama haupo mpaka uupate Ndio utaamini
 
Mama yangu Khaaaaa, Mungu atusaidie sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…