Na watu wanajitafunia tuu hawana mudaMimi UKIMWI siuelewi kuna mama flani mwaka 1992 nikiwa bado mdogo kabisa sema najitambua alikuwa jirani yetu mumewe alifariki kwa huu ugonjwa akamuacha huyo mama akiwa mjamzito.
Huyo mama akajifungua kwa njia ya operation pale aliposhonwa ilichukua sana muda kupona naye walidhani atakufa maana mtoto aliyemzaa alifariki baada ya miezi kadhaa.
Lakini huyo mama mpaka leo yupo na afya tele watu wanakufa wanamuacha na habari za kuwa ana ngoma zilikwisha sahaulika