Hapo raha yake ni pale aliyekufunga ni mkeo na amepoteza funguo......
Hapo raha yake ni pale aliyekufunga ni mkeo na amepoteza funguo......
Anavunja kufuli, halafu si naweza nikachonga funguo eeh!
Mpango wa nje nikaendelea vizuri tu!!!!
Hakuna kisichowezekana.
Mh ... naogopa sasa ina maana na wewe utanifanyia hivi?
Nooo!!! nilikuwa nawasilisha ujumbe tu, mi fanani napeleka ujumbe kwa hadhira PM.
Kamwe sitokufanyia hivooooo!!!1
Na ndio maana namshukuru muumba kwa kunikutanisha na wewe...
Kwenye keybod eeh!
Lakini kweli maisha hayana formula!
Si ndio mwanzo huu,dunia imekuwa kijiji kimoja.[/QUOT
hahaha! Mwanzo mzuri, nimekushawishi hadi umewatosa watu watatu, ngoja niongeze sala.
Hahahahaaaa hilo linatumiaga funguo malaya
Si ndio mwanzo huu,dunia imekuwa kijiji kimoja.[/QUOT
hahaha! Mwanzo mzuri, nimekushawishi hadi umewatosa watu watatu, ngoja niongeze sala.
Nami huku naongeza sala, naona kweli niliongozwa na roho kuja huku kutoa malalamiko yangu.
Nami huku naongeza sala, naona kweli niliongozwa na roho kuja huku kutoa malalamiko yangu.
Ongeza sala kabisa, manake mmmmh... unamuona Elli eeh, anataka kuleta vurugu.
Yaani hapa ukimwi utaingilia wapi ???
Ongeza sala kabisa, manake mmmmh... unamuona Elli eeh, anataka kuleta vurugu.
We muache tu nikimkamata atanieleza vizuri.
Mbona hafiki tu huyo paka wako?