UKIMWI ni biashara, nchi za dunia ya tatu tunatumika

Acha mama nina rafiki yangu ana saratani ya shingo ya kizazi stage ya kwanza halafu amegoma kutoa kizazi uwiii yaani naogopa, tumemshauri tumechoka maana hana mtoto anasema hawezi kufa bila kuzaa.
Sasa mnasubiria nini azalishwe faster kabla hali haijawa mbaya zaidi ili atimize malengo yake shida ni nini?
 
Ila si bado atakua kaathirika?
Kwani kuathirika ni nini? hahaha wanasema UKIMWI ni Upungufu wa Kinga Mwilini kwa hiyo kama kinga zake zimeshuka ndio magonjwa nyemelezi yanamjia swali ni je kila anayeshukwa na kinga ana Ukimwi? jibu ni hapana, my dear hii mada ni ndefu tusije haribu biashara za watu.... mchanganyieni majani ya mlonge kwenye lishe msagie kwa pamoja awe anakunywa pia kila siku apate glass mbili asubuhi moja na jioni moja ya juice ya majani hayo.
Utaleta mrejesho.
 
Kama haijalika mwambie aanze dozi ya majani ya mstafeli na juice ya tunda la Mkomamanga.... kama imelika sana endeleeni kumuomba atoe tu kizazi.... Nimepima hiyo saratani mwezi uliopita maana duuh imeshika kasi sana siku hizi sijui ni pedi au nini Mungu atusaidie jamani.
Nitamshauri
 
Ukisikilkza hata matangazo mengi ya HIV/AIDS yamejikita katika kutanagza biashara ya ARV na sio kupunguza wala kukinga maambukizi ya huu ugonjwa..wanasema nenda kapime uanze Kutumia ARV..kwanini wasijikite zaidi kwenye preventiona ya ugonjwa..the world is full of dramas
Wanajua watanzania hamsikii
Sijawai kuona tangazo au movie ya ukimwi marekani
 
Tatizo watu wengi tunasema ugonjwa huu kwa kifupi ndo maana tunaamini na kuogopa

Lakini ukitamka kwa kirefu utaona hakuna lamaana na hua tunaogopa kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wetu
 
Mzugua unajisemesha tu..
Ila inawezekana kama utapata elimu elekezi na how to control your depression..
Wengi wanaugua zaidi sababu ya depression. We angalia wengi ambao wanaojijua baada ya kupima wakati wakiwa hawaumwi wanavyokongoroka haraka wakishajijua.
 
Back
Top Bottom