Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,882
- 141,507
Mume wangu nakupenda sana, ujilinde, mimi siwezi kukulinda au kukuchunga kila uendapo, unaweza ukawa kuna mambo unayafanya ambayo mimi hutaki niyajue na wala sitaki nijue, Tafadhali sana lolote lile utakalofanya jua kuna ukimwi, Angalau ukumbuke kutumia kinga, kwakweli sitakusamehe wala kukuhudumia siku ukipatwa na ukimwi. Hayo ni maneno ambayo mke alikuwa anamwambia mumewe. Lakini baada ya miaka kadhaa ya ndoa kama nane hivi mke ikajulikana yeye ndio amepata ukimwi bahati nzuri mume alipoenda kucheki yeye alikuwa bado hajaathirika. Mbaya zaidi jamaa hajawahi kusikia wala kuhisi kama mkewe anatoka nje ya ndoa mpaka alipogundua dalili za ukimwi kwa mkewe.
Kweli ndoa ngumu. Kupata mtu muaminifu ni ndoto.
Mambo ya discordant couples hayo,jamaa amshukuru mola wake na kikubwa zaidi amtunze mkewe na ammpe moyo,waishi watunze watoto,kulaumiana haisadii,wakubali tu hali halisi.
Ingekua ni mwanaume ndie kapatikana bado ungeonesha subra hiyo hiyo?hatujui upande wa pilli wa hii hadithi...nachelea kumuhukumu huyu mama coz hatujui nini kilimsibu....all in all uaminifu unajengwa na vitu vingi sana...
I read somewhere that the likelihoods of catching HIV less than 0,3% per coitus.Inamaana hawakuwa na mahusiano ya kinyumba? Hili swala la mke/mume kuwa na virusi lakini mwenzake akakosa linanitatiza sana.
The only explanation ni kama hawakutani kimwili, lakini kama wanakutana kimwili regularly inashangaza.
Ingekua kila coitus inaambukiza basi watu wangeisha duniani, tungebaki sisi tu.
Sisi ambao hatu-do :lie:Mngebaki wewe na nani?
Inamaana hawakuwa na mahusiano ya kinyumba? Hili swala la mke/mume kuwa na virusi lakini mwenzake akakosa linanitatiza sana.
The only explanation ni kama hawakutani kimwili, lakini kama wanakutana kimwili regularly inashangaza.
Mi nitajuaje? najua wewe na mimi tu.No.
Nani mwingine ha-do?
Mi nitajuaje? najua wewe na mimi tu.
majestically.Sasa mbona mwanzoni ulitumia uwingi wa 'sisi'?
majestically.
kuna watu ambao wanarefer to themselves at the third person (singular)Unamaanisha nini?
kuna watu ambao wanarefer to themselves at the third person (singular)
or first person (plural). Ndio nilitaka kufanya hapo: Sisi kama Mwali
in this majestic form? ndio.Uwingi wa Mwali ni mwali?
in this majestic form? ndio.
It is just like when a speaker says:" tunaamini kwamba :blah:"
He could well say naamini, but he uses that to weight his opinion
basi sijaelewa swali lako.Hilo siyo jibu la swali langu.
Hii inashangaza lakini hutokea. before nilikuwa siamini, ikaja kutokea kwa ndugu yetu. wakati mke wake ana mimba(3months) ndugu yetu akaanza kuugua ukimwi, tukaenda hospitali kibao kuthibitisha kama ana huo ugonjwa, kila hospital tulioenda ilithibitisha kuwa anao. ndugu yetu akafariki. tukamchukua mke kwenda kumpima, kila tulikompeleka tukaambiwa hana, na mke akawa anang'ang'ania kuwa mumewe amerogwa kwa sababu ingekuwa ukimwi na yeye angekua nao. lakini ukweli ni kwamba ndugu yetu alikuwa na ukimwi. Mpaka leo hii sielewi iliwezekanaje.Inamaana hawakuwa na mahusiano ya kinyumba? Hili swala la mke/mume kuwa na virusi lakini mwenzake akakosa linanitatiza sana.
The only explanation ni kama hawakutani kimwili, lakini kama wanakutana kimwili regularly inashangaza.