kwa nini mnakimbilia maambukizi kwene mapaja peke yake? huwenda aliambukizwa kwa kumuuguza mtu mwingine wa kifamilia hata hivyo hastahili kuhukumiwa anahitaji huruma na kitiwa moyo.
Katika mahusiano, ndoa au urafiki ukiona mwenzako bila wivu anakuambia wewe nenda tu nje ya uhusiano ila nisijue, jua kuwa yeye anatembea nje ya uhusiano,na guilt conscious inamtesa ndo maana anataka na wewe utoke ili muwe sawa.Kama mwanamke au mwanamume ni mwaminifu hata siku moja hawezi kukubali kusikia mwenzake anatembea nje!Mke baada ya kujulikana kama ana ukimwi, alitubu, akawataja watu wake wawili ambao ndio alikuwa anakutana nao, mmoja ameshatangulia mbele za haki, anahisi huyo ndio alimuambukiza. ni mfanyakazi mwenzie ofisini anapofanyia. Mume alimkumbusha hayo maneno mkewe aliyomwambia miaka kama nane iliyopita. Mke ni kilio tu hajui aseme nini. Anafikiria hata kujiua.
Katika mahusiano, ndoa au urafiki ukiona mwenzako bila wivu anakuambia wewe nenda tu nje ya uhusiano ila nisijue, jua kuwa yeye anatembea nje ya uhusiano,na guilt conscious inamtesa ndo maana anataka na wewe utoke ili muwe sawa.Kama mwanamke au mwanamume ni mwaminifu hata siku moja hawezi kukubali kusikia mwenzake anatembea nje!
Mume wangu nakupenda
sana, ujilinde, mimi siwezi kukulinda au kukuchunga kila uendapo,
unaweza ukawa kuna mambo unayafanya ambayo mimi hutaki niyajue na wala
sitaki nijue, Tafadhali sana lolote lile utakalofanya jua kuna ukimwi,
Angalau ukumbuke kutumia kinga, kwakweli sitakusamehe wala kukuhudumia
siku ukipatwa na ukimwi. Hayo ni maneno ambayo mke alikuwa anamwambia
mumewe. Lakini baada ya miaka kadhaa ya ndoa kama nane hivi mke
ikajulikana yeye ndio amepata ukimwi bahati nzuri mume alipoenda kucheki
yeye alikuwa bado hajaathirika. Mbaya zaidi jamaa hajawahi kusikia wala
kuhisi kama mkewe anatoka nje ya ndoa mpaka alipogundua dalili za
ukimwi kwa mkewe.
Kweli ndoa ngumu. Kupata mtu muaminifu ni
ndoto.
waaminifu wapo kibao
duh ama kweli
Nobody Can Touch Words,
But Words Do Touch Everybody..
We Are The Master of Our Unspoken Words,
And Slave of Our Spoken Words..!
hatujui upande wa pilli wa hii hadithi...nachelea kumuhukumu huyu mama coz hatujui nini kilimsibu....all in all uaminifu unajengwa na vitu vingi sana...