idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,306
- 38,511
Jamaa ni mkali na anaijua kazi yake, ila huo wimbo ni kati ya chache ninazozikubali, Mungu amsaidie pamoja na skendo zake za uzinzi.
Unaweza kutaja na wewe ni wimbo gani unaukubali toka kwake.
Unaweza kutaja na wewe ni wimbo gani unaukubali toka kwake.
@elmagnifico:
yani huu wimbo toka autoe nimeuskiliza mara sijui ngapi kuna kipindi nilikiwa naweka auto replay kwa huu wimbo siku nzima.
Ukimwona kwa upande wangu ndio wimbo bora na safi kwa diamond. Producer aloutendea haki upande wa beat maana beat yake inateka hisia ukija lyrics na melody za diamond ndo kamaliza kabisa uwa nahisi kasema kile ambacho ningetamani kumwambia mtu flani.
Eeeeh ukimwoooona