Ukimuona 'Babu wa Loliondo' utamwambia nini?

Ukimuona 'Babu wa Loliondo' utamwambia nini?

Ntampa hongera maana kajikwamua kimaisha kwa kutumia akili yake kuliko hawa mafisadi...........barabara zimejengwa,mtandao unapatikana huko,kajengewa nyumba
HONGERA SANA BABU
 
Anatakiwa apewe degree ya ujasiriamali huyu mzee. Bonge la creator
 
Alisema kunamujiza mwingine mungu kamwotesha eti Adam na Eva walizikwa tanzania tamuliza huo mujiza mwingine alio oteshwa mbona hatuuoni

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kikombe cha babu kimetibu watu wengi sana. Mimi mmojawapo, ambao hawakupona walikuwa hawana imani...
 
10525602_1075784615769289_3299512203451786706_n.jpg


Huyu Babu utamuambia nini ukimuona sasa hivi? ni hilo tu

Nitampongeza kwa kuua soo za kisiasa kwenye vyombo vya habari.
 
nitamshukuru sana tena sana kwa kupitia yeye mwanangu amepona kabisa tatizo lake!!! tena kwa Tsh500 ambayo hata soda hupati!!!
wanaomuona kwa mlengo wa hasi wananjaa kali! pelekeni njaa zenu huko!
kumbukeni babu hakuwapigia simu muende Samunge! wala hamkuandikiwa barua!!! so muwe wapole! ile Tsh 500 aliweka wazi kabisa mgawanyo wake! hivyo muwe wapole kabisa!

sanasana nitamwuuliza kuhusu uhusiano wake na MUNGU kwa sasa ukoje baas!!!
 
Back
Top Bottom