James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
- Thread starter
-
- #81
Weka Clip ya Tundu Lissu akihojiwa na Chris Cuomo ama Don Lemon basi tuone? ama hata akihojiwa na Rachel Madow wa MSNBC. Huizo TV alizohojiwa USA ni kama hizi za kina Mirad Ayo tu
We unafikiri watu wanakwepa kwenda kwa sababu gani hasa?
NDEGE KASUKU ANAONGEA SANA LAKINI HAWEZI KUPAA ZAID ANGANI
NDEGE TAI HAONGEI SANA ILA NDIO WANAOPAA ZAIDI ANGANI
UMEJIFUNZA NINI KUPITIA MSEMO HUU??
Hata kama una wivu ama chuki, isiwe kwa kiwango hicho. Lissu anazidiwa umombo na mwenyekiti wako?Kwani Lisu ngeli inapanda?!!!
Acheni utani bhana...... Ngeli ya Lisu anazidiwa hata na January Makamba au Sugu!
Muiba mitihaniKwani Lisu ngeli inapanda?!!!
Acheni utani bhana...... Ngeli ya Lisu anazidiwa hata na January Makamba au Sugu!
mbona hueleweki? umemzungumzia Lissu ama? Mimi nimekusaidia kukueleza kwamba hiyo Hardtalk siyo kipindi kikubwa kivile kwa wenyeji na lengo la Lissu si ilikua kuueleza umma wa UK nini anataka kuueleza? Sasa kama unahojiwa watu wamelala na marudio yake watu bado wamelala kuna u maana gani? Si bora tu ahojiwe na kina Milard Ayo?Sasa si bora waende kwenye Hardtalk ambayo haipo kwenye prime time kuliko kwenda kuaibika kwenye prime time programmes zinazoangaliwa na watu wengi?!
Mnachekesha sana. Yajayo yanafurahisha.Mapovu yote haya ni kwa ajili ya hiyo sentensi yangu moja ?
Jiwe aliishaenda kwa Saccur!Wataenda vipi kama mwenyekiti mwenyewe ngeli ni ya kulenga kwa mitama ya mchomvu,
"Wi a in ze raiti traiki"
Watapumzika vipi wakati kuna moto na pepo!!!Sasa maerehemu si waacheni wapumzike ?
mbona hueleweki? umemzungumzia Lissu ama? Mimi nimekusaidia kukueleza kwamba hiyo Hardtalk siyo kipindi kikubwa kivile kwa wenyeji na lengo la Lissu si ilikua kuueleza umma wa UK nini anataka kuueleza? Sasa kama unahojiwa watu wamelala na marudio yake watu bado wamelala kuna u maana gani? Si bora tu ahojiwe na kina Milard Ayo?
Kijijin kwetu kuna tajiri mmoja lkn elimu yake ni darasa la 7, akiona vijana waliomaliza chuokikuu hawana hata buku mfukoni uwashangaa na kuwambia hiyo elimu yenu inawasaidia nini ameapa hawezi kumpeleka mwanae shule zaidi ya shule za msingi.Nilitaka nimuulize kuhojiwa HardTalk kuna wasaidia nini watanzania?
Wananchi wanataka maendeleo kama elimu bora, huduma za uhakika na nafuu za matibabu n siyo maneno matupu ya kiingereza.
NDIYO. kama unabisha mwambie Jiwe aende kama atakukubalia. Hajui hata nchi yetu ilipata uhuru mwaka gani. Kwenya anga za kidiplomasia jiwe ni sifuriKuna Watu wengine sijui huko Vyuoni mlienda Kufanya nini. Hivi Mtanzania Kuhojiwa 'Hardtalk' ndiyo 'Justification' kwamba ni 'Mwerevu' sana au?
NDIYO. kama unabisha mwambie Jiwe aende kama atakukubalia. Hajui hata nchi yetu ilipata uhuru mwaka gani. Kwenya anga za kidiplomasia jiwe ni sifuri
Kitu pekee ambacho nakijua tu ni kwamba kama Wewe siyo Mwerevu ( Intelligent ) kabisa huwezi Kusoma Chuo Kikuu changu bora mno cha SAUT.
Anaweza akawa amehojiwa na vituo vingine vidogo lakini ukweli unabaki pia amehojiwa kwenye Hardtalk. Kwa sasa sioni mwanasisa mwenye ubavu wa kwenda kuhojiwa kwenye Hardtalk zaidi ya Lissu. Hawa wanasiasa wa Bongo bora tu waendelee kuulizwa maswali laini na waandishi uchwara wa Bongo kuliko kwenda kuwa kichekesho mbele ya dunia.