Ukimuacha Tundu Lissu, hivi kuna Mtanzania mwingine ameshawahi kuhudhuria kipindi cha HardTalk?

LofaBoy hawezi kupumzika mkuu, wale marehemu wa Pemba wamempokea kwa mitama ya Mchomvu, na mpaka sahivi bado wanamgawana, anataman arudi dunian maana huko kati jamaa wanamshushia kichapo heavy hana hamu

Muhujumu uchumi hebu mwache mzee Mkapa apumzike kwa amani tafadhali. Hata kama kuna sehemu aliteleza lakini hakuwa mbaya wa hivyo.
 
Wasubirie wenyewe waliosoma hivyo Vyuo waje Mkuu Mimi nimesoma Chuo cha Werevu wa Kikatoliki cha SAUT ambako husomi.
Nakumbuka enzi zetu kama umefeli umepata Div III basi watu wanakushauri uombe SAUT.. Div I wote huwa tunaomba UDSM tuu maaana lazima tupate tuu
 
James Martin,

Ukijua kusoma na kuandika ina maana mambo mengine unastahili kujitafutia na kujisomea. Unauliza swali ambalo ulistahili kujitafutia na ukapata majibu. Bado unataka upewe notisi za darasani na vitini?
 
Back
Top Bottom