Ukimuacha Tundu Lissu, hivi kuna Mtanzania mwingine ameshawahi kuhudhuria kipindi cha HardTalk?

Kuna Watu wengine sijui huko Vyuoni mlienda Kufanya nini. Hivi Mtanzania Kuhojiwa 'Hardtalk' ndiyo 'Justification' kwamba ni 'Mwerevu' sana au?

YES.....!

Yaani ndiyo maana yake...

Wewe unadhani kipimo cha werevu ni nini? Kuwa Rais kama Magufuli?

Tumia kipimo chako kupima werevu wa mtu...

Wengine wanetumia HARDTALK ya BBC...

Yote yanaweza kuwa sawa...
 
James Martin,

Sifa za kuokoteza okoteza hizi yaani hata mtumie darubini bado habebeki! Hata angehudhiria HT 1000 ni upuuzi mtupu maana Haina Tija kwa taifa Wala mtu binafsi! Alishindwa kushawishi bungeni Ikungi na SGD mashariki kutatua Kero za wananchi mpaka Magu alipoingilia kati! Kwa ufupi hajitambui na ni mbwabwaji tu! Nendeni Basi mkale, mkavae, au mkapande hard talk😠!
 
YES.....!

Yaani ndiyo maana yake...

Wewe unadhani kipimo cha werevu ni nini? Kuwa Rais kama Magufuli?

Tumia kipimo chako kupima werevu wa mtu...

Wengine wanetumia HARDTALK ya BBC...

Yote yanaweza kuwa sawa...

Swine.
 
Hard Talk ni kwa washamba tu toka Shit Hole countries.
Putin hajawahi kuwa interviewed Hard Talk
Mjinga sana Trump hajawahi kuitwa huko.
Si Tony Blair wala Cameron au Boris nimewasikia huko kutoa policy statements na kuzitetea.
Visokorokwinyo kuitwa huko imekuwa deal!
Wengi wa walioitwa huko ni stupid reactionaries ambao hawana umaarufu toka their Shit Hole countries na wanapenda kujulikana tu.
 
Don't hit around the bush...!

Sema, nyie kipimo chenu cha "werevu" ni nini?

Mimi ni HARDTALK YA BBC...

Kuwa "Jiwe" kama Magufuli?

Kama siyo, nini kipimo chako/chenu??
 
Don't hit around the bush...!

Sema, nyie kipimo chenu cha "werevu" ni nini?

Mimi ni HARDTALK YA BBC...

Kuwa "Jiwe" kama Magufuli?

Kama siyo, nini kipimo chako/chenu??
Hard Talk wanawakusanya washamba wajinga wajinga wasiojua dunia.
 
Kina manufaa gani kwa nchi yako? Kina manufaa gani kwa familia yako? Kina manufaa gani kwako?
 
Back
Top Bottom