Ukimtanguliza mungu hakuna linaloshindikana

Ukimtanguliza mungu hakuna linaloshindikana

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
1,547
Reaction score
7,531
Patrick kijana kipofu amabaye pia ni mwalimu amemuoa mrembo ambaye pia ni kipofu kwa Jambo lisilotalajiwa wamepata mtoto ambaye pia ameziliwa kipofu.

Patrick amesema "Nilikutana na mke wangu Wakati tupo chuo na sote tulikua darasa Moja la wasioona tukapendana na nikamchumbia na nikamuoa.. sijawahi kumuona na yeye pia hajawahi kuniona lakini tunapendana Sana.

Mwezi wa tatu mwaka huu tumejaliwa mtoto wa kike sijawahi kumuona pia lakini wananiambia na yeye ni kipofu sikupenda aziliwe hivo kama sisi lakini yote ni mipango ya mungu naahaidi ntamlea na atatimiza malengo yake kama sisi wazazi wake". Amesema kijana huyu.

Najua hautoamini lakini ukimtanguliza mungu hakuna linaloshindikana.
 

Attachments

  • FB_IMG_1723184597644.jpg
    FB_IMG_1723184597644.jpg
    67.2 KB · Views: 7
Upofu upo wa aina mbili kwa uelewa wangu, wa kuzaliwa nao au wakuupata

Wakuzaliwa nao unaweza kua na vinasaba vya urithi hivo kupelekea watoto baadhi kurithi tatizo hilo.
Nadhan hao ni miongoni.

Ila wangekua n vipofu walioupata upofu kwa ajali au matatizo mengine ukubwan wangezaa mtoto mzima
 
Back
Top Bottom