Kama weye unataka ishi hivyo haya shauri yako. Eti usipige kelele kwani wote wanaiba nje ni kuwa wanakasoro? Kaa na hiyo theory yako na wafuasi wako. Acha mie nifanye yanguInashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.
Eti eeh! Kufumaniana isiwe sababu ya kuachana pia.
siku mkiachana hata kama ni kimya kimya mwenzako atatoa siri kwamba yeye ndo chanzo cha mahusiano kuvunjika na alifanya hivo kutokana na madhaifu yakoInashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.
Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.
Umeona eeeeeAtakae fuata ushauri wako atakuwa Punguani kama wewe.
OmonileeKama huna hatia katika uzinzi bila shaka utapiga kelele tu! Lakini kama na wewe ni mzinzi ukimfumania mwenzio kaa kimya maana watakuja hata wale ambao tayari umezini nao, watakushangaa kwa nini umepiga kelele wakati na wewe ni mzinzi tu, utakapowaona lazima dhamiri itakushitaki!
my friend did the same, hakusema kitu,.!! daah, demu hakuamini, alianz kuishi kwa woga, atlast akakimbia mwenyewe akaacha barua akiomba msamaha..!!
Atakae fuata ushauri wako atakuwa Punguani kama wewe.
Siwezi sema Kwa nini eeh,tulitengana na yeye eeh, siwezi sema Sababu eeh, Mapenzi yangu naye yalikuwa ya Ajabu....Ushauri mwingine kama nguvu za giza
Kwanza niambie kama wewe una mwenza na kama unaye kweli hapa tunaweza kuongea