BilioneaPATIGOO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 12,320 Reaction score 11,341 Dec 8, 2016 Thread starter #81 Mbona kama kuna vijembe vinarushwa chini chini kwenye uzi wangu..emb tulien jmn tulien
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,479 Reaction score 176,527 Dec 8, 2016 #82 Honey Faith said: Siku nyingi sana tupo na mume wangu tunalea Click to expand... Yupi sasa, maana hata wewe ulikuwa haujui muhusika ni nani!! Honey Faith said: Ooooooh pole sana Click to expand... Nimeshapoa, nawe pole kwa kufulia.
Honey Faith said: Siku nyingi sana tupo na mume wangu tunalea Click to expand... Yupi sasa, maana hata wewe ulikuwa haujui muhusika ni nani!! Honey Faith said: Ooooooh pole sana Click to expand... Nimeshapoa, nawe pole kwa kufulia.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Dec 8, 2016 #83 atoto said: Yupi sasa, maana hata wewe ulikuwa haujui muhusika ni nani!! Nimeshapoa, nawe pole kwa kufulia. Click to expand... Asali wangu wa moyo nadhani unamjua Kufulia kawaida hiki kipindi si cha sport sport
atoto said: Yupi sasa, maana hata wewe ulikuwa haujui muhusika ni nani!! Nimeshapoa, nawe pole kwa kufulia. Click to expand... Asali wangu wa moyo nadhani unamjua Kufulia kawaida hiki kipindi si cha sport sport
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 8,252 Reaction score 14,793 Dec 8, 2016 #84 data said: Dah ,... watu mna kipaji cha kutunga story papo kwa papo.. hongera. Click to expand... Nitunge story ili iweje?
data said: Dah ,... watu mna kipaji cha kutunga story papo kwa papo.. hongera. Click to expand... Nitunge story ili iweje?
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,479 Reaction score 176,527 Dec 8, 2016 #85 Honey Faith said: Asali wangu wa moyo nadhani unamjua Kufulia kawaida hiki kipindi si cha sport sport Click to expand... Kwakweli namfahamu, hivi ndio aligoma kabisa kutoa msamaha?
Honey Faith said: Asali wangu wa moyo nadhani unamjua Kufulia kawaida hiki kipindi si cha sport sport Click to expand... Kwakweli namfahamu, hivi ndio aligoma kabisa kutoa msamaha?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Dec 8, 2016 #86 atoto said: Kwakweli namfahamu, hivi ndio aligoma kabisa kutoa msamaha? Click to expand... Kwani mie nilishawahi kukosana na @Rogie?Hata sikumbuki kabisa
atoto said: Kwakweli namfahamu, hivi ndio aligoma kabisa kutoa msamaha? Click to expand... Kwani mie nilishawahi kukosana na @Rogie?Hata sikumbuki kabisa