Ukilala...lala salama

Mwili umenisisimka.....nimeingiwa na huzuni...daah maisha haya alale salama dada wa watu
 
Mwili umenisisimka.....nimeingiwa na huzuni...daah maisha haya alale salama dada wa watu
Mkuu lilikuwa tukio la huzuni mno.....Hakuwa na ndugu hivyo baada ya kupelekwa mochwari gari la manispaa lilipita mitaa yote kuulizia ndugu zake.....sijui kama ndugu zake walijitokeza kwenda kumzika au alizikwa na manispaa.....Lilikuwa ni tukio la kuhuzunisha mno.
 
Pole sana kwa kumbukumbu yenye kuogofya.
 
We ulijifanya mjuaji, mwanamke gani kila mwanaume unamtaka.

Zimwi likujualo..............

Aaaaaah mpendwa ktk bwana hilo swali ulipaswa ujiulize wewe ujue.
Hivi mbona mimi nina unafuu.
Honey Faith hivi ulishajifungua au umebeba tembo.
 
Aaaaaah mpendwa ktk bwana hilo swali ulipaswa ujiulize wewe ujue.
Hivi mbona mimi nina unafuu.
Honey Faith hivi ulishajifungua au umebeba tembo.
Jamani mbona haunipumzishi mtoto wa mwanamke mwenzio?Kila kukicha kunisema tu khaaaa!!!
 
Dah
,... watu mna kipaji cha kutunga story papo kwa papo.. hongera.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…