DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,496
- 83,715
Pole Sana mkuu
Mbona yeye siku ya Kwanza Anaomba gudgud,piga bomu tu😁😁Kwahiyo unamaanisha wadada wote wa kwenye mwendokasi tuna tabia hizo? Ni huyo mmoja tu usituharibie wote😀 hivi unaanzaje kupiga kibomu day 1 hata mtongozo haujakolea vizuri? Aah hapo wadada tunazingua
Hii ni welcome note.Kwahiyo unamaanisha wadada wote wa kwenye mwendokasi tuna tabia hizo? Ni huyo mmoja tu usituharibie wote[emoji3] hivi unaanzaje kupiga kibomu day 1 hata mtongozo haujakolea vizuri? Aah hapo wadada tunazingua