Ukikutana na JAMBAZI Uwe na NIDHAMU

Ukikutana na JAMBAZI Uwe na NIDHAMU

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Ukikutana na JAMBAZI Mahali Popote, muda Wowote na Siku Yoyote ile kuwa mtu mwenye nidhamu na utulivu ili kuokoa maisha yako. Wewe umetembea hauna hata kiwembe unamuona mtu amebeba Bunduki na anataka umpe pesa kwanini unakataa? Mpe tu aondoke kwa amani.

Yule SIster aliyefariki jana (RIP) pale Ubungo Riverside ni sababu hakutaka kutoa ile pesa, si kwamba nataka kumlaum marehemu ila ningependa tujifunze kupitia yeye. Yule Sister amefariki kwa kusumbua kutoa shilingi milioni mbili, sasa uhai wako unaweza kulinganisha na milioni mbili?

Siungi mkono ujambazi ila ninachosema ni kwamba endapo imetokea umekutwa na janga kama hilo kwa bahati mbaya uwe na nidhamu kwa jambazi ili asikudhuru, si jambazi pekee hata hao vibaka wenye mapanga na nondo.

TUPENDE UHAI WETU KULIKO PESA.

MCHUNGUZI HURU

===============
===============

Subirini niwape seminar kidogo itawasaidia huko muendako:

Kuna kitu kinaitwa timing, maisha ya sasa ni timing, unaliana timing na kila kitu kuanzia unapoamka mpaka unapolala, ukikosea timing tu inakula kwako siku hiyo, inaweza ikala kwako padogo, ikala kwako pakubwa, au ikala kwako mazima!

Unatakiwa uwe alert kila muda, unapoendesha gari unakuwa alert ili kitu kikichomoka ball joint uwe na uwezo wa kutrouble shoot na kuhalt bila madhara ya mwili, unapovuka barabara unatakiwa kuwa alert, na kila ufanyacho uwe alert kwa sababu mjini kila kitu kina kulia timing.

Sasa kwenye suala la ujambazi pia ni timing, unaweza ukawa umetembea na siraha yako vizuri, umebeba cash unakwenda bank, majambazi wanatokea when and where you dont expect them, yaani wao wanataka kuku"sapraizi" ili nguvu zikuishie kabsa.

Kwenye situation kama hiyo mwanaume unakuwa hauna jinsi, unatakiwa uwe makini sana kwa lolote unalotaka kufanya au kusema mbele ya mtutu, unaweza kuwa mwoga na kukimbilia kutoa pesa, kile kitendo cha wewe kuinama kuchukua mfuko harakaharaka huyo jambazi anaweza kufikiri unachukua mashine hivyo anakumiminia faster.

Unatakiwa ujitahidi kurelax na kuacha mikono yako sehemu inayoonekana, kama ulikuwa umeshika steering wheel baki hivyohivyo. Kuwa msikillizaji zaidi kuliko muongeaji, mtu mwingine ukikaa unamwongelesha mara shkamoo jambazi mara sjui nini anaona uzinguzi kama unamtania vle hivyo anaweza kuloose temper na kujikuta anakufyatulia risasi, yeye obviously atajiona ni boss hivyo he is in control na amri zote anatoa na wewe unatekeleza, TEKELEZA!

Jambo la msingi sana ni kuhakikisha katika kujifanya unamsikiliza kwa makini mwangalie kwa makini pia, sura na features za mwili zitakusaidia kumtambua kama itatokea ametiwa nguvuni, au ukiamua kufanya PI mwenyewe.

Usiwe mbishi, majambazi wengi wa Tanzania wameshajitoa ufahamu hawaoni hatari kukuuwa kwa sababu ya laki moja, tofauti na kwa wenzetu ambao wanaavoid sana murder case.

KUWA MAKINI, LINDA SANA UHAI, PESA NI STATIONERY TU!
 
Ni kweli bora uwe mpole uhai au replace na chochote ila inataftwa
 
Mimi kwanza nikimuona tu, naanza msalimia 'shkamoo Kaka Jambazi'. Nampa mpaka coins, na kumsindikiza namsindikiza. Namwambia karibu tena Kaka Jambazi, next tym unaweza zikuta nyingi. Ama namuachia na number yangu akitaka kuja anipigie tu. Hela kitu gani??? hasara roho
 
Wewe mleta mada, Mchunguzi huru, si ajabu wewe ulikuwa miongoni ya hao majambazi waliokuwa kwenye pikipiki, waliomuua huyo Sista.

Haiwezekani ucomment kuwa raia wema wanapokumbana na kadhia ya kukutana na majambazi au vibaka, wajisalimishe kirahisi na kutoa kila walichonacho, ili tu wasalimishe maisha yao.

Comments hizo pia zitawapa pia kichwa hao majambazi na vibaka kuongezeka zaidi mitaani, wakijua popote pale watakapowavamia raia wema, watasurrender kiulaini, kwa kufuata ushauri wa mchunguzi huru, kuwa hiyo ndiyo njia pekee ya kusalimisha maisha yao!

Kwa kuwa kitendo cha kuuawa sista ni kitendo cha kikatili na unyama wa hali ya juu, na kwa kuwa jeshi la polisi limekiri kuwa halijamtia mbaroni hata mtuhumiwa mmoja, basi ingekuwa vyema likaanza kwa kumkamata mchunguzi huru, ili aisaidie polisi katika uchunguzi wa kuwanasa 'wenzie' walioshiriki katika kuitoa roho ya huyo sista ambaye hakuwa na kosa lolote!
 
jamani hebu saa zingine tutoe hoja za kuelimisha na si za aina hii
 
unamwamkia kwanza "shikamoo kaka jambazi" halafu unamkabidhi kilicho chake.
Namjua muitaliano mmoja ashawahi kumsalimia jambazi " shikamoo jambazi, una bahati mbaya sana leo nimepeleka hela benki nimebaki na hii kidogo" am told hata hao majambazi walikauka kwa kucheka. So heshima kwa jambazi wakati mwingine inahitajika.
 
Ukweli tupu kabisa! !!!!

Sio akikukuta mikono tupu tuu, hata ukiwa na moto kama huna uhakika wa kumuwahi na kidole yake ipo on triger mpe pesa aende! !!!

Wengi wanajua silaha na hawana masihara kabisa,bisha mbele ya kisu bunduki habari nyingine kabisa!!!!!
 
Subirini niwape seminar kidogo itawasaidia huko muendako:

Kuna kitu kinaitwa timing, maisha ya sasa ni timing, unaliana timing na kila kitu kuanzia unapoamka mpaka unapolala, ukikosea timing tu inakula kwako siku hiyo, inaweza ikala kwako padogo, ikala kwako pakubwa, au ikala kwako mazima!

Unatakiwa uwe alert kila muda, unapoendesha gari unakuwa alert ili kitu kikichomoka ball joint uwe na uwezo wa kutrouble shoot na kuhalt bila madhara ya mwili, unapovuka barabara unatakiwa kuwa alert, na kila ufanyacho uwe alert kwa sababu mjini kila kitu kina kulia timing.

Sasa kwenye suala la ujambazi pia ni timing, unaweza ukawa umetembea na siraha yako vizuri, umebeba cash unakwenda bank, majambazi wanatokea when and where you dont expect them, yaani wao wanataka kuku"sapraizi" ili nguvu zikuishie kabsa.

Kwenye situation kama hiyo mwanaume unakuwa hauna jinsi, unatakiwa uwe makini sana kwa lolote unalotaka kufanya au kusema mbele ya mtutu, unaweza kuwa mwoga na kukimbilia kutoa pesa, kile kitendo cha wewe kuinama kuchukua mfuko harakaharaka huyo jambazi anaweza kufikiri unachukua mashine hivyo anakumiminia faster.

Unatakiwa ujitahidi kurelax na kuacha mikono yako sehemu inayoonekana, kama ulikuwa umeshika steering wheel baki hivyohivyo. Kuwa msikillizaji zaidi kuliko muongeaji, mtu mwingine ukikaa unamwongelesha mara shkamoo jambazi mara sjui nini anaona uzinguzi kama unamtania vle hivyo anaweza kuloose temper na kujikuta anakufyatulia risasi, yeye obviously atajiona ni boss hivyo he is in control na amri zote anatoa na wewe unatekeleza, TEKELEZA!

Jambo la msingi sana ni kuhakikisha katika kujifanya unamsikiliza kwa makini mwangalie kwa makini pia, sura na features za mwili zitakusaidia kumtambua kama itatokea ametiwa nguvuni, au ukiamua kufanya PI mwenyewe.

Usiwe mbishi, majambazi wengi wa Tanzania wameshajitoa ufahamu hawaoni hatari kukuuwa kwa sababu ya laki moja, tofauti na kwa wenzetu ambao wanaavoid sana murder case.

KUWA MAKINI, LINDA SANA UHAI, PESA NI STATIONERY TU!
 
Ukweli tupu kabisa! !!!!

Sio akikukuta mikono tupu tuu, hata ukiwa na moto kama huna uhakika wa kumuwahi na kidole yake ipo on triger mpe pesa aende! !!!

Wengi wanajua silaha na hawana masihara kabisa,bisha mbele ya kisu bunduki habari nyingine kabisa!!!!!

Ukweli ndio huo!
 
Back
Top Bottom