Aah wapi siku hiyo mbona tutabakana hapo hadi mwaka mpya!! Pesa zinatafutwa kwa tabu ati.
hao majambaz kama watasoma hapa, bas mbona shavu litaongezeka maana watajua wabongo wengi ni waoga na wana haki ya kuonewa pia hawafikirii kununua bastola zao za kujihami.
majambaz eeh!! someni hapa mpate kuwafaham wabongo.
Kunahiyo ishu imetokea mwaka huu mwezi watano nahisi kunamama aliletewa pesa zimetoka kwa mwanae ili amuhifadhie wakati zinaletwa alikuwa kakaa na mfanyakazi mpaka anazipokea akaenda kuziweka kwenye kabati yule mfanyakazi wa kike anamuangalia tu .jioni akaondoka kwenda kwao huyo msichana. Kufika saa moja jioni mara majambazi hao wakambuluza yule mama wakataka kumpiga risasi bahati nzuri alikwepa ikaenda kwenye ukuta .kisha wakaenda mojakwamoja mpaka kwenye hicho chumba mpaka kwenye kabati wakachukua mfuko na kukimbia .mtoto wake akaja wakapiga polic sasa katika kuangalia kwenye kabati kumbe wamechukua mfuko wa soksi badala wa pesa .na mama wa watu wamemuumiza kavimba kwakumbuluza
Duu huu uzi niliusoma jana nikaona umekaa kiupendeleo kwa majambawazi, ila kama kuna uwezekano wa kulinda uhai linda tu maana hivi vingine vinatoweka na kupatikana pia! Kuna tetesi kuwa jana huko Geita majambazi walivamia wakala wa M-Pesa wakamuua kwa risasi na kupora na wakaenda kwa duka la vinywaji vyaa jumla mhusika akawa mpole akawapa zao walizofuata akasalimika, good news vijana wa bodaboda wakajitosa na kuwakimbiza na kufanikiwa kuwaua 2, ila hawa watu hawafai kabisa ktk jamii maana wanarudisha nyuma maendeleo!
Huu ndio unaitwa 'ukondoo' wa Watanzania, majambazi walikuwako, wako na wataendelea kuwako duniani kote lakini kitendo cha kukubali wafanye 'operations' zao bila kuingiliwa ni kuukataa ubinadamu wetu. Sasa kama polisi na wengine waliogopa hao bodaboda walipata wapi ujasiri huo!? Ni suala la kuamua tu. Mbona kipindi fulani walikuwa wamekomeshwa hapa hapa kwetu lakini sasa hivi wanaonekana wazi kujitawala!? R.I.P Mtawa.Duu huu uzi niliusoma jana nikaona umekaa kiupendeleo kwa majambawazi, ila kama kuna uwezekano wa kulinda uhai linda tu maana hivi vingine vinatoweka na kupatikana pia! Kuna tetesi kuwa jana huko Geita majambazi walivamia wakala wa M-Pesa wakamuua kwa risasi na kupora na wakaenda kwa duka la vinywaji vyaa jumla mhusika akawa mpole akawapa zao walizofuata akasalimika, good news vijana wa bodaboda wakajitosa na kuwakimbiza na kufanikiwa kuwaua 2, ila hawa watu hawafai kabisa ktk jamii maana wanarudisha nyuma maendeleo!
Ni kweli usemayo ni kutoa tu ushirikiano kwao majambazi roho ipone
Alikwepa risasi au ulikusudia jiwe mkuu?????!!!
Risasi ilimkosa kosa