Mimi hata atake nini poa tu, kama ana bunduki hata nguo zote namuachia. Waache tu wenye jeuri ya uzima waendelee kubisha
unamwamkia kwanza "shikamoo kaka jambazi" halafu unamkabidhi kilicho chake.
Toa hela tu,ukijipendekeza kwa jambazi anakuua tu,wala usijaribu.Mimi kwanza nikimuona tu, naanza msalimia 'shkamoo Kaka Jambazi'. Nampa mpaka coins, na kumsindikiza namsindikiza. Namwambia karibu tena Kaka Jambazi, next tym unaweza zikuta nyingi. Ama namuachia na number yangu akitaka kuja anipigie tu. Hela kitu gani??? hasara roho
Wewe mkuu wewe na hii ID yako unanipa mashaka sana.....Wambrrriee!! Waache ujuaji.
mmh! hii hapana bora waniue tu......
we mchunguz ninamashaka na kaul yako. ulijuaje aliporwa ml 2??? police joooon! huyu hukuuu anajiita mchunguziiiii! mshikeni kamateeeniii il mupate vielelezo. Anasema pesa iliyoibiwa ni mil 2. Halafu anahadaa watu wakiona majambaz wawape hela zote. Kova jamaa huyu hapa jf.
Wewe mleta mada, Mchunguzi huru, si ajabu wewe ulikuwa miongoni ya hao majambazi waliokuwa kwenye pikipiki, waliomuua huyo Sista.
Haiwezekani ucomment kuwa raia wema wanapokumbana na kadhia ya kukutana na majambazi au vibaka, wajisalimishe kirahisi na kutoa kila walichonacho, ili tu wasalimishe maisha yao.
Comments hizo pia zitawapa pia kichwa hao majambazi na vibaka kuongezeka zaidi mitaani, wakijua popote pale watakapowavamia raia wema, watasurrender kiulaini, kwa kufuata ushauri wa mchunguzi huru, kuwa hiyo ndiyo njia pekee ya kusalimisha maisha yao!
Kwa kuwa kitendo cha kuuawa sista ni kitendo cha kikatili na unyama wa hali ya juu, na kwa kuwa jeshi la polisi limekiri kuwa halijamtia mbaroni hata mtuhumiwa mmoja, basi ingekuwa vyema likaanza kwa kumkamata mchunguzi huru, ili aisaidie polisi katika uchunguzi wa kuwanasa 'wenzie' walioshiriki katika kuitoa roho ya huyo sista ambaye hakuwa na kosa lolote!
unamwamkia kwanza "shikamoo kaka jambazi" halafu unamkabidhi kilicho chake.