Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 34,993
- 100,649
Najuta mwaka jana nilijifanya kunyoa nikachanganya henna na breach ili iwe kama rangi ya moto kwa mbali! Nikipanda dalala, nikienda sokoni nikienda mjini naitwa pacome, kila nitakapopita utasikia aah pacome zouzoua nilikomašš¾Mapacome