Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
hapo hakuna amani
Ukienda kunywa hapo lazima urundi home na ngeo
Taliban mbona jina zuri tu,acheni ubaguzi huo!
Mmmh kuna ukweli fulani.Na tangu lini mlevi akawa na nafasi ya kuyawanza yote hayo?? Kwake chupa ipo basi, jina si issue!