VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 402
- 539
wadau hii hali huwa nakumbana nayo mara kwa mara.Nikitongoza mwanamke huwa nakubalika kirahisi sana.Na ndio kwenye hiyo timeframe natakiwa nimeshafanya yangu.vinginevyo nikikaa zaidi ya wiki 2 huwa nazungushwa sana.kuna mmoja nilishafukuzia mwaka mzima mpaka kuja kunipa mzigo!