Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,699
- 96,635
Hahahaha,aje nimpe uzoefu wa ku handle vibuti ,Nina uzoefu mkubwa tuTatizo kakataliwa pamoja na verifaidi yuza yake, kajiona wa hovyo kwahiyo hasira zake anamalizia kudislike eti..!! 😹😹
Ndio nani ?Umejaribu kwa Marry? 😹
Usinifanyie hivyo Nuzulate.Mbona tuliongea yaka-finish?Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Sasa mbona ww mwanaume tuNaona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani ungempa aweke hata kidole tu ungepungukiwa nini ?
Wanawake wa JF siwez jaribu hata kidoleNaona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Na usomi wake kakataliwa, lazima kimchome 😆 ila anakosa ustaarabu, hata ungemkubali angekusumbua.Naona hii tabia imeota mizizi sasa.
Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.
Usidanganyike na Profile pic yangu.
Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.
Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.
Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.
Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.
Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Marry Diana njoo ukutane na boss OG achana na wabeba pima maji na mwiko..!! 😹Ndio nani ?
Mmmmh, sitegeki kihivi RafikiMarry Diana njoo ukutane na boss OG achana na wabeba pima maji na mwiko..!! 😹
Kesi ishakua ngumu 🤣 🤣 hebu wafundishe vijana ustaarabu basi, wanakosa vifua.Mtoto wa mama mkwe Binti wa zamani njoo huku kuna kesi ya Jamuhuri
Atakuja tu 🤣🤣🤣 we subiri!Halafu nashangaa mpaka dk hii hajaja au kasoma kimya kimya uzi huu?
Kuna vitukoJf bhana, haijawahi kuboa.
Mtaje shoo kabla ubuyu haujapoa 😹😹Shosti leo uko moto hatari🤣
Yo yo😅""You ma one and only, my heart desire
Tajiri wa moyo wangu, haunaga baya
Ukitaka kiss, ok nichum, me wako, my love
Tupae juu angani
Penzi limeota mbawa, eiyee
Nimemaliza, me kwako sina usemi
Nilichobakiza: kujenga family""
Wanajiona washayapatiaMbona yanazungumzika?
Tatizo members wa kiume wa humu wana papara sana hasa hawa verified na platinum.