Ukijiamini haupati Maradhi

Ukijiamini haupati Maradhi

Kuoga kila siku kunaondoa uwezo wa mwili kujihuisha mkuu. Ila inategemea na factors kama nilivyosema. Kwa mjoto huu wa Dar inategemea na mwili wa mtu na kama hachakariki, anaweza ku skip mara mojamoja. Inakua applicable zaidi zile siku mtu ameshinda na mwili haujachakarika sana.
Shukrani umeeleweka loud & clear

Pamoja Sana!
 
ni biashara hiyo ya wateja wenye hofu.

panga budget yako lakini usiainishe kwamba pesa hii ni kwa ajili ya ugonjwa endapo utaumwa ni bora ukaweka kitu kingine chochote.
Shukrani Sana mkuu

Maoni yako yatazingatiwa
 
Kias cha bacteria kilichopo ulaya ni kidogo sana sio kama huku

Kwanza afrika unaambiwa waliwah kupima sample za mate zikakutwa na chembe chembe za mavi ya mtu,yaan idadi kubwa ya waafrika wanachembe chembe za mavi midomoni mwao

Mkuu mkuu mkuu hizi habar ni nzito ujue

Isije ikawa kama wakati ule vipimo vinaonyesha papai Lina COVID

Sasa na hawa wazungu wasije wakatuletea majibu Yao ya utata!
 
Back
Top Bottom