hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,534
- 73,803
Haha
Kwani wewe huruhusiwi kuzitafuta?
Kwani wewe huruhusiwi kuzitafuta?
AiseKuna wanao tafuta hela ila hawajui kuwa na hela, kuwa kibamia au kutokuwa kibamia inategemea umekutana na size namba ngap? kuna zingine unaweza weka hata ngumi ikapwaya!
Haha chizi weeSasa wakianza kudeal na cv za wanaojiunga unadhani wewe utapita???? Kiswahili kinakupiga chenga......
Mwache mtoa mada afurahishe jukwaa leo toka asubuhi sijacheka, ila kupitia uzi huu nimecheka mnoooo
Wameona badoo hakuna dili wameanza kuja kuja kutusumbua huku




Kalale ..kesho tuition
Hahaha
Haha
Acha tu nikuunge katika uchekaji
Hahahaha
Ndiwo ....Kwani ume shamaliza shule?Thubutuuuuu tuition![]()
Mmmmh!! huyu mgeni amekuja na kasi balaa atakuwa ndugu yake Money Penny huyu
Nipo kwenye pepa
Hahah kesho usisahau kunikumbusha kukupatia pesa ya nauli




Dharau hiziMbona kama povu!! Lakini si umetangaza mwenyewe kwamba mzigo for sale au?Bosi wangu mama yako, na ndo kanifundisha muulize tu mama yako na kama vipi pesa mpe yeye kabisa atanipa asilimia yangu
Hamna siyo kwamba nawachukia au nawakandamiza ila nawarekebisha na na kuwaambia ukweli na mbona najua kuwa wapo wanaume wengi tu ambao wanajielewa na wanajiheshimu halafu hata hivyo wanaume ndo mnaongoza kutokuwa na huruma na wanawake kwenye mapenziHahahh .mbona huwa hauna huruma na wanaume.. Huwa nasoma comment zako ni kuwa kosoa na kuwa kandamiza wanaume kwa nguvu zote ..kumbukuka wanaume ni kaka zako,wajomba, na baba yako ..so inabidi ututhamini ..na kutujali binti
Dharau hizi