Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

Kimsingi upo sahihi kabisa, kitambo niliwahi kumwambia gf wangu mmoja ambae nilimpenda haswa baada ya kuanza mbwembwe za kuhaha na watu wa kumuoa tukiwa 3rd year.

Nilimwambia nachokikosa mimi kwa sasa ni hela tu na ambazo nitazipata tu with time as long as mimi ni kidume. Other than that sina la kupoteza maana nachotakiwa kuwa na nacho ni pesa tu thamani yangu iko pale pale tabu ataipata yeye anafikiri ndoa ni simple hivyo.

Kwahio kama anafikiri kuvunja uhusiano ndio atakuwa kafanya jambo la maana yeye aende tu maana najua hatafika mbali kwa hizo akili za kitoto. Na kweli nilimuacha free akagongwa na raia wawili watatu waliokuwa wanamzuzua kisha wakapita hivi akawa ametia akili..

Hakuchukua round alirudi kwa magoti akiwa na adabu zote nikamtia vipimo nikaendelea kutafuna kisela. Na sahizi ngawira haisumbui thamani imepanda maradufu. Nikiri kwamba ni kweli thamani ya kidume ni limitless akiwa na afya njema ya uzazi na mawe ila mwanamke ni limited hata akiwa na afya njema ila uzazi na mvuto wake una ukomo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekaa vyema. Mi nataka unipotezee pesa zangu mamii! Unasemaje kuhusu hilo?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hapana sipendi kupoteza pesa za mtu yeyote kwa sababu hata mimi sipendi kupotezewa muda wangu
 
Unawazungumziaje wanawake wenzio ambao licha ya kufanyiwa yote hayo still wanabinuliwa matako na co-workers wenzao ama wakuu wa idara?
Maana kesi za namna hio zimekuwa reported sana recently.
Hao wanawake wenzangu wanaofanya hayo nawaunga tu mkono kwa sababu pia wanaume wenye sifa zote hizo nilizotaja hapa juu hawapo
 
Sijui kwa kweli lakini mimi binafsi napenda mwanaume mpole anayenitawala kidemokrasia huyo siku zote atanifanya na mimi nikae kwenye nafasi yangu na kuwa chini yake siku zote

Ila mwanaume mbabe anayenitawala kidikteta hanifai kwa kweli atanifanya niwe mjeuri maana najua kwa vyovyote vile ipo siku nitajikuta nimemjibu vibaya halafu tutagombana katika maisha yangu sipendi kufokewa wala kupigwa na mtu yeyote yule
 
Mbona wanaosababisha haya yote hauwalaumu? Msingekuwa mnatongoza hovyo wanawake wasingekuwa wanakubali hovyo
 
Kwahiyo kumbe mnaoa mwanamke kwa sababu ya mvuto na siyo tabia? Sasa mnavyopiga kelele mitandaoni kuwa mwanamke siyo maumbile bali ni tabia kumbe hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo?

Halafu ndo maana nikasema huo ni mtazamo wa jamii tu hasa za kiafrika lakini siyo uhalisia ndoa siyo umri wala mvuto

Yaani kwa kifupi kwetu waafrika zamani mababu walitafuta kila njia na sababu za kumkandamiza mwanamke na kumfanya ajione hana thamani yaani walihakikisha wanafanya kadri wawezavyo kuifanya hii dunia iwe jehanam kwa wanawake

Lakini angalau naona jamii zimeanza kuamka taratibu na kuugundua ukweli japo bado sana ila taratibu tu tutabadilisha hii mitazamo hasi juu ya wanawake wenzetu wazungu wameweza ndo maana hawana mitazamo kama hii tena
 
Hey, I'm anxiously waiting for your reply..
 
Hapana mimi mwanaume anayenipenda na kunijali, asiyenisaliti wala kuninyanyasa ndo ninayempenda na kumhitaji haijalishi ana pesa au hana
Sasa kama hana pesa atahudumiaje familia?
 
Yaani wewe bwana, wanaume watambue thamani ya miili ya wanawake wakati hao wanawake hawatambui thamani ya miili yao? Does it make sense to you? Nadhani ukiitambua thamani yako, hata jirani yako tu atakuheshimu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yaani mwenyewe ajione takataka auze papuchi tu halafu mimi ndio nimuone wa thamani....SMDH
 
Sasa kama hana pesa atahudumiaje familia?
Hana pesa kivipi? Labda kama unazungumzia mvulana ambaye ni kula kulala anaishi na wazazi wake na huyo hafai kuwa na mpenzi wala mke ila naongelea yule mwanaume ambaye anajitegemea na mwanaume hauwezi ukajitegemea kama hauna pesa kabisa lazima kuna vipesa utakuwa unapata tu na ndo hivyo hivyo utavitumia kujihudumia wewe na mpenzi wako au mke wako
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yaani mwenyewe ajione takataka auze papuchi tu halafu mimi ndio nimuone wa thamani....SMDH
Wanauza kwa sababu wanaume wa kununua wapo wanaume mngeacha kuwa wateja wa hayo mambo hao wanawake wasingekuwa wanauza sasa hapa msiseme eti wanawake ndo wanatakiwa waanze kuacha

Maana kila kitu mnataka wanawake ndo waanze kuacha hapa inabidi wanaume ndo muanze kuacha kuwa wateja hakuna mtu anayeweza kuendeleza biashara ambayo anajua haina soko kwahiyo soko likitoweka hata hiyo biashara itakufa tu yenyewe
 
Kuna sehemu umeandika....haijalishi ana pesa AU HANA PESA...ndio maana nimeuliza mwanaume asie na pesa atahudumia vipi familia?
 
Kama unauza unategemea kuna mwanaume atakuona wa thamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…