ukistaajabu ya RICHMOND utaona ya DOWANS....au ina maana hii
kam unahisi umedanganywa, hata sisi wazee wengine tukikueleza bado nahisi hauta amini
ukistaajabu ya RICHMOND utaona ya DOWANS....au ina maana hii
haaaaaaaaaa GY umenifurahisha muhula wa ngapi tena huu wa pili wa kwanza
Haya mkuu ngoja tuendelee kustaajabu:A S-alert1:

Hii version yako ni kali kwelikweli. Ninachojua mimi Firauni (farao) na Musa walipambana pale kwenye simulizi la kutaka kuwakomboa Waisraeli kutoka Misri. Musa alipomwambia Firauni kwamba ametumwa na Mungu kuwatoa utumwani waisraeli , Firauni aligangamala. Wakaanza mapambano. Firauni akaleta wachawi wake ili kupambana na Musa. Naye Musa akashusha mapigo 10 kwa Firauni - na la mwisho likiwa la kuuawa kwa wazaliwa wa kwanza. Kwa hiyo "ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni" ina maana kwamba kama jambo lilishawahi kukushangaza ('ya Musa') basi jua yapo makubwa zaidi, tena ya kishetani (maovu) - 'Ya Firauni'. Kumbe ya Firauni huwa daima ni mambo ya kustaajabisha lakini pia yanakuwa ni maovu kupindukiaWakuu habarini zenu?
Nimekuwa nikitafuta maana ya huu msemo sehemu mbalimbali hatimae nikakutana na babu 1 hapa ofisini kwetu akaniambia Firauni alikuwa Mfalme na Moses Kijakazi, siku moja mke wa tajiri na kiongozi mwenye nyadhifa ya juu serikalini alimbaka Moses bila hiyana Moses akakataa lakini yule mama kwa kujihami akamshataki Moses kwa kujaribu kubaka na kumfikisha kwa kiongozi/mfalme Firauni. Yule mama akadai madhara makubwa aliyoyapata ni kupata miscarriage kwani alikuwa na ujauzito.
Firauni baada ya kuelezwa tukio zima akamhukumu Moses kukaa/kuishi na yule mama kwa mwezi mzima au zaidi mpaka apate ujauzito......
Jamani ni kweli au nimedanganywa naomba nijuzwe story behind this famous quote.
Duh....?!!!!Wakuu habarini zenu?