Msichoke
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 569
- 400
Najiuliza tu wewe kama graduate baada ya kumaliza shule umerudi kijijini kwenu huko ktk wilaya ya Misenyi (or other remote areas from DSM)...no internet services ya kujaza online Application basi umebahatika kutoka wilayani na kutuma maombi ya sekretari ya ajira.
Sasa baada ya muda umechaguliwa kwenda kwenye usaili huko DSM ambako hauna ndugu wala jamaa roughly nauli lazima uwe na 150000 +chakula njiani na ukijinyima sana utumie 100000=250,000.
Fikiria maisha ya Mtanzania wa hali ya chini na hupatikanaji wa hiyo!
Kwa nini siku hizi kupata kazi serikalini nako kunakuwa gharama?
Basi bora ukifika kule hiyo ajira uipate utapigwa na joto pale DUCE kisha utaambiwa marks hazijatosha(NOT SELECTED).
USHAURI WANGU:Tume ya ajira UTUMISHI inabidi ijigawe kikanda(MWANZA,ARUSHA,MBEYA,DODOMA NA DSM) ili kupunguza mzigo huo wa gharama kwa vijana wanaotafuta kazi.
Kama ni interview ifanyike siku na wakati mmoja.