Mbona umeshtuka.Magroup ya whatsapp tena!
Hahahahah kwanini?mchokozi wewe
Kwasababu haya magroup ya whatsapp jana usiku yalileta taharuki hapa jf. Lkn hii mada ya leo ni nzuri.Mbona umeshtuka.
Kumbe umeliamsha makusudi eeh. Zile nyuzi sizioni tena nahisi zimefutwa.Dude limeamshwa tena.
Ushauri mzuri Mkuu.Katika maisha kuna watu wa kila aina. Na ndio hao hao tunaokutana na katika mitandao na magrupu ya mitandao.
Jua nini kinakufaa kisichokufaa achana nacho na kwa magrupu pia ukijua hilo mtu huwezi pata shida.
Yanini ukae grupu la watu wanazungumzia ulaji wa nyoka nawewe huli wala huna mpango wakula nyoka?!
Hahahaah wamempiga na BAN kabisa HelooKwasababu haya magroup ya whatsapp jana usiku yalileta taharuki hapa jf. Lkn hii mada ya leo ni nzuri.