Ukigusa tu kwisha!

Hivi mtu hadi hapo anakuwa hajaelewa nini????lione kwanza,badala alale....................haloooooooooooooooooo!mashosti wangu watakuwa wamepata namna ya kutoa ujumbe!
 
No transpassing,especialy in the you know what,huko ulinzi ndo umewekwa balaa,ukigusa tu umeisha.Hahaha
 
Ha ha ha..........! Hii ya mwaka. Inaelekea jamaa alikuwa king'ang'anizi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom