Ukigundua kuwa partner wako amecheat, je waweza kumsamehe?

Kwani kuna kipi kinachobadilika. Itahamia nyuma badala ya mbele? Partner wangu wa kweli mimi pesa tu.
 
Nitamsamehe!kwa sababu mpaka anacheat na mm nimechangia kwa asilimia fulani.lkn isiwe mazoea,kabla haja cheat lzm akae na mm anielekeze shida ipo wap.bt Nitamsamehe
 
Kila lenye mwanzo lina mwsho hvyo mm nadhan hakuna haja ya msamaha hapo kwan hata ukiwepo mambo ni yale yale tu ni mawazo yang binafs
 
Inategemea na sababu na mazingira
Kama yapo makosa upande wangu nasamehe
Kama i've done everything yet ameacheat sisamehii...
 
Na kuna ile mtu anajutia kosa na kuna wengine anahalalisha kosa,inategemea
 
Mie nimeathirika na mfume dume. Mwanamke ku cheat kwangu haikubaliki. Hata kama akibakwa, nahisi nitaangalia kwanza mazingira ya kubakwa.:D:D:D


Hili la mfume dume nililiwaza, Afadhali yako umekuwa mkweli.
 
Hata kama alicheat kwasababu inayoeleweka, labda ulikuwa humjali, au mechi unampa mara moja kwa mwezi n.k

Not saying ni jambo sahihi la kufanya, lakini ndo hivo mtu inampelekea kucheat.

Bado pia hutamsamehe kwa sababu hizo??
Namaanisha nilichokisemaaa siwezi kumsameheee....na mwezi wako hawezi kukunyima unyumba bila sababuuu....... Ngoja nikupe kisa kimojaaa.........
Mm nilishawahi kuwa na mahusiano na kaka mmoja wa kinyamwezii..... Mwanzooo mapenzi moto moto... Badae akaanza kubadilikaaaa anarudi nyumbn usikuuu...... Kuondoka SAA kumi na moja asubuhiii... Akaanza Tabia akiondoka haachi pesa ya matumiziii nikawa namwangalia tuuu simuuliziii......Siku zinazidi kwendaa wew moyoni nikasema usinitanieee nitakukomeshaaa......kwahiyo akirudi anaoga ..anakulaaa...... Mda wakulala traki yangu iko wapi soksi.... Swetaaa alafu nalalaa kila Siku nayeye hskuniulizaa kmyaa.....uvumilivu ulivyo mshindaa akaniuliza nikamwambia huko unakopeleka pesa ya matumizi hupewi unyumbaaa ooh sijui nn mara hivii. .......nikampuuza mara...sijakaa vizuri boss wake ananiita ooh nasikia mnatatizo hili nahilii nikakana nikamwambia owongo sisi hatuna matatizooo hapo ndiyo alishika adabuu......kila akitaka unyumba namwbia weka hela mezani nikupe unyumba hutaki lala

Akawa anafanya hivyo lkn ikafika mahali akanambia mke wangu yani nakununua kweli nikamwambia si umeyata mwenyeweee ..... Akawa anafosi siku nyingin ananipiga nakunipigaaaa ......lkn wapi simpiiii........

Mbn hakuwahi kunisaliti.....
 
Hata kama alicheat kwasababu inayoeleweka, labda ulikuwa humjali, au mechi unampa mara moja kwa mwezi n.k

Not saying ni jambo sahihi la kufanya, lakini ndo hivo mtu inampelekea kucheat.

Bado pia hutamsamehe kwa sababu hizo??
nnasamehe mambo yote duniani ila sio kucheat,,,mechi unapewa vzur,nnajitahidi kuwajibika na kutimiza yanayonipasa bado ukadandie kwingine?ni dharau icyovumilika,,
 
Back
Top Bottom