ukifumaniwa na soksi utajiteteaje?

utamuelezea nini lengo lako,maana sio kila atakaekutwa na soksi ni mzinifu yu
 
Ee bwana usiombe ikutokee kwa wife! Nakuhakikishia ni mojawapo ya kesi ngumu MNO, sawa na ya kufumaniwa na mke wa mtu! Sasa hiyo ishantokea live na mbaya zaidi kipande kimoja kilikuwa kikosekana!
 
aah, hivi hayo madude yako humu bado, nlimwambia yule mwalimu atanisababishia ugomvi home, sasa ona,
ni ya kufundishia huko, si unajua maelimu ya ukimwi siku hizi wanaonyesha mashuleni huko, emu yatupe bana watatfuta, hata hivo sina muda wa kuwapelekea hiyo kesho nina kazi nyingi
 
Ee bwana usiombe ikutokee kwa wife! Nakuhakikishia ni mojawapo ya kesi ngumu MNO, sawa na ya kufumaniwa na mke wa mtu! Sasa hiyo ishantokea live na mbaya zaidi kipande kimoja kilikuwa kikosekana!

akiikamata atahisi una lako jambo........
 
Mkuu Ruta, yalishanikuta! asikuambie mtu, ni nouma! bahati mbaya niligawiwa wala sikuwahi kuitumia wala kuwa na nia mbaya nayo! lakini moto ulivyowaka Lol.
 
Miaka ya 198... nikiwa bado kwenye ndoa,
baba yenu alienda ileje akiwa na msafara wa
mkuu wa wilaya (mama mmoja ambaye alishakuwa mkuu wa mkoa wa Kili..)
kurudi katoa nguo kwenye mfuko kama kawaida, ile anatoa jaketi tu ikadondoka ndom
tena ilikuwa imetumika, alichofanya aliidaka kama paka anavyomdaka panya akaisokomeza mfukoni
akatoka nje, so lake jaza mwenyewe hapa chini.
 
Mwenyezi Mungu kakupisha na mengi....ungekuwa naye hadi hivi sasa siajabu angelikuwa kakusogezea mgeni mwilini mwako.......lol,,,,,,,,sometimes adversity is a blessing in a disguise........
 
One among the hardest question has been solved today......................... ...............

kweli?.........ajichue na nini huku mke anaye?....wa kumchua..............lol
 
Mkuu Ruta, yalishanikuta! asikuambie mtu, ni nouma! bahati mbaya niligawiwa wala sikuwahi kuitumia wala kuwa na nia mbaya nayo! lakini moto ulivyowaka Lol.

lazima uwake...................hasa hiki kizazi kinachoabudu ngono na minoti...........
 
Miaka ya 198... nikiwa bado kwenye ndoa,
baba yenu alienda ileje akiwa na msafara wa
mkuu wa wilaya (mama mmoja ambaye alishakuwa mkuu wa mkoa wa Kili..)
kurudi katoa nguo kwenye mfuko kama kawaida, ile anatoa jaketi tu ikadondoka ndom
tena ilikuwa imetumika, alichofanya aliidaka kama paka anavyomdaka panya akaisokomeza mfukoni
akatoka
nje, so lake jaza mwenyewe hapa chini.

Ha-ha-ha-hahaaa....Nimependa maelezo ya hapo juu kwenye red.
 
si umeliona hilo eeh,
msiwe mnalaumu tu kuwa ndoa zinawashinda kwa ajili ya
tabia mbaya.

Mwenyezi Mungu kakupisha na mengi....ungekuwa naye hadi hivi sasa siajabu angelikuwa kakusogezea mgeni mwilini mwako.......lol,,,,,,,,sometimes adversity is a blessing in a disguise........
 
wakati wengine tulitoa michozi
wewe unapenda,
maujanja mengine hayafai kabisa eti eeh.

Pamoja na huruma kwa mzee lakini nilishindwa kujizuia kucheka kwa jinsi mtu mzima alivyopata ustadi wa ghafla wa kuweza kudaka kipaketi kidogo haraka na kuiminyia mfukoni .....mithili ya paka anavyomdaka panya....ha ha ha. Hata nikikumbuka popote nacheka mwenyewe kama chizi.
 
mbaya zaidi haikufungwa hata kwenye tissue.

hebu chukua picha uone mtu mzima alivyohangaika mkuu.

Back
Top Bottom