Ukifuga hata ng'ombe mmoja tu wa maziwa, mwajiriwa hakufikii

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
252
Reaction score
328
KUMBUKIZI 📌

Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika.

Kupitia kujifunza, kufanya marekebisho sahihi, na kusimamia ufugaji wake kitaalamu, leo Mzee Hassan anafanya vizuri. Mapato ya ufugaji wake yameweza kumuwezesha kujenga nyumba yake na kuboresha maisha kwa ujumla.

Kwa kauli yake mwenyewe anasema: “Ukipanga na kufuga kitaalamu, hata mfugaji mwenye ng’ombe mmoja anaweza kupata kipato ambacho mwajiriwa wengi hawakifikii.”
 
Kwa kauli yake mwenyewe anasema:
“Ukipanga na kufuga kitaalamu, hata mfugaji mwenye ng’ombe mmoja anaweza kupata kipato ambacho mwajiriwa wengi hawakifikii.”

---

📢 JIUNGE NA GROUP LETU LA MAFUNZO
(Kilimo & Ufugaji wa Kibiashara)
RUBABA MEDIA

Tunatoa:

✔ Mafunzo ya vitendo yanayotokana na uzoefu halisi wa shambani
✔ Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu na wafugaji waliothibitisha mafanikio
✔ Mbinu za kuongeza tija, uzalishaji na faida
✔ Mikakati ya kupunguza hasara zisizo za lazima
✔ Mwelekeo wa kujenga kilimo na ufugaji wa kibiashara chenye ushindani sokoni

📩 Hatua za Kujiunga

📌 Tuma ujumbe: NIUNGE
📞 WhatsApp: 0764 148 221

🌱 KUMBUKA

Mafanikio hayaji kwa bahati.
Yanajengwa kwa maarifa sahihi, mipango madhubuti, maamuzi yenye tija, na utekelezaji wa vitendo—kwa kutumia mbinu na teknolojia zilizoidhinishwa kitaalamu.

#KilimoTanzania #UfugajiWaKibiashara #RubabaMedia #RubabaTV
#KilimoChaKisasa #UfugajiWaNgombe #TijaNaFaida #Inawezekana
safi sana
 
😁😁🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😁😁😁
 
Ng’ombe mmoja analeta kipato cha pesa kushinda muajiriwa?
Uongo wa mchana kweupeeee
Embu twende kwa namba, ngombe anatoa lita 30 kwa siku, kama lita ni bku jero kwa day unapata 45k, ukitoa 25k ya kumuhudumia unabaki na 20k ambayo kwa mwez ni 600k, hujamzidi mwajiriwa ktk sekta fulani, niamua kuwa motiveshen supika na mm.
 
KUMBUKIZI 📌

Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika.

Kupitia kujifunza, kufanya marekebisho sahihi, na kusimamia ufugaji wake kitaalamu, leo Mzee Hassan anafanya vizuri. Mapato ya ufugaji wake yameweza kumuwezesha kujenga nyumba yake na kuboresha maisha kwa ujumla.

Kwa kauli yake mwenyewe anasema: “Ukipanga na kufuga kitaalamu, hata mfugaji mwenye ng’ombe mmoja anaweza kupata kipato ambacho mwajiriwa wengi hawakifikii.”
View attachment 3527868
Kaka muajiriwa yupi huyo ? Au unazungumzia walinzi wa SUMA JKT ? Wacha urongo wako bwana ,hapa kuna watu wazima na wazito kwa urongo wako utajishushia heshima yako rafiki rubaba
 
Embu twende kwa namba, ngombe anatoa lita 30 kwa siku, kama lita ni bku jero kwa day unapata 45k, ukitoa 25k ya kumuhudumia unabaki na 20k ambayo kwa mwez ni 600k, hujamzidi mwajiriwa ktk sekta fulani, niamua kuwa motiveshen supika na mm.
Ng'ombe wa kutoa 30 lts ana bei na gharama kubwa ya uendeshaji.

Maziwa ya 1500 TZS kwa lita ni kama wewe mwenyewe unayefuga na unauzia kwako mjini una eneo la kufugia, pia una gari la kuleta malisho. Let's say Kigamboni, Mbezi ndani ndani na Chanika.
Maana maeneo ya ufugaji mzuri na malisho hapa Tanzania maziwa lita kwa jumla ni kwenye 800-900TZS unauzia anayeenda kuuza.

Mtu anayeweza kuwekeza hivyo sio wa kulinganisha na jobless au mwajiriwa wa mgambo. Na huwezi nunua ng'ombe mmoja wa uzalishaji mkubwa hivyo, ni bad investment unatakiwa ng'ombe angalau watatu hapo. Ukiwa na hela ndogo bora kununua mtamba wa mbegu hybrid na kienyeji ambao kwenye uhalisia anatoa 10 lts na hana bei kubwa ya kuuzwa au gharama kubwa za utunzaji.
 
KUMBUKIZI 📌

Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika.

Kupitia kujifunza, kufanya marekebisho sahihi, na kusimamia ufugaji wake kitaalamu, leo Mzee Hassan anafanya vizuri. Mapato ya ufugaji wake yameweza kumuwezesha kujenga nyumba yake na kuboresha maisha kwa ujumla.

Kwa kauli yake mwenyewe anasema: “Ukipanga na kufuga kitaalamu, hata mfugaji mwenye ng’ombe mmoja anaweza kupata kipato ambacho mwajiriwa wengi hawakifikii.”
View attachment 3527868
Mwambie huyo mzee wako aache dharau zake za kijinga. Kujenga hako kajumba kake ndiyo afikie hatua ya kuwaponda waajiriwa!
 
Back
Top Bottom