Ukifika miaka50 oa binti wa miaka20+ akulee uzeeni

Miaka 50 binti wa miaka 20 hapana aisee,mwanamke akifikisha miaka 35 mumewe atakua na miaka 65,jee ataweza kumrdhisha mke wake kitandan?ndio mwanzo wa mke kuchepuka tena atatumia pesa zako kuhongea vibenten,kwan hutaweza kumtosheleza kimwili.
 
Najua wapo watakao pinga ila haiwezekani we mwanaume unazeeka na mke wako anazeeka hii hapana.

Lazima upate mke mpya atakayeweza na kumudu kazi za kiunyumba n.k.

Unajua wanawake wakifika 50+ wanapungua na wanakuwa hawana hisia za mapenzi ila tofauti na mwanaume.

NB: hakikisha unapata mtoto wa uzeeni haiwezekani unafikia 50+ watoto wote wanajitegemea hata mtoto wa kumtuma maji hakuna..hapana.
50 na wewe kama huna pesa sio ndio unaanza kutembelea rim na muda wowote Mwenyezi atakuita. ( kama sio ngoma, sukari, pressure, stress, vimada) unatusuaje kwa mfano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom