Ukifika kwenye kikundi cha watu wanaozungumza mara wakakaa kimya unatakiwa kufanya nini?

Lazima una tabia ambazo hawazipendi ..haowezekan washkaji kukuchunia bure na ukiona stage hio bhc jua unatakiwa kubadilika .
 
Vitu vya kawaida hvyo mkuu .. jitahid kadri uwezavyo kujiandaa kisaikolojia kwa kila kitu utakachokutana nacho iwe in negative way or positive way ... Hapo ukimind utakua dhaifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom