Ukifika Capetown utashangaa sana

Nenda kaone kwa macho yako,coloureds 80% wanatumia madawa. Wabongo wanaofanya kazi za kuuza bidhaaa au bandarini ni wachache sana.
Kuwa makini ba data zako asilimia 80 sio data halisi unaweza ukawa na data lakini tatizo la madawa kwa coloured halipo unavyolisimulia
 
Duh

Mzee unajikombeleza mno mpaka unaboa yaani...

Eti baba mmoja....kaa kwenu,endeleza nchi yako acha kujijengea ukoo na watu wasikutambua sababu tu wameendelea

What a loss!
Naamin nilichokiwaza mimi sicho ulichowaza wewe

Nimeita hiz nchi baba mmoja kwa tabia yetu ya uvivu na kama wadau walivyotoa points zao ni ngum msauz kumzingua mbongo maan wanaendana kitabia na wanaelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…