Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,286
- 7,074
Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.
Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.
Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo Keko.
Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.