Hayandiomaisha
Member
- Oct 1, 2013
- 30
- 10
mmh, ingekuwa tunaishi kwa kufuata yasemwayo ukimwi ungeisha.
ukikaa kizembe zembe tunakupoteza tu...hapa kijiweni bana
!
!
shkamo
conclusion?
Ushauri wa humu ni sawa na nguvu za giza..usiuchukulie seriouz kivile.
Kuna pple kaz yao kuponda
kuwa kinyume na.ukwel
utaskia wanawake wa...kuoa ni std 7 au form four
Et wenye dgr hawana unyenyekevu
Na mijitu inasuport tu NDIO KWELIII
Haya..utaskia wanawake wanene...hawajui kukataa wanaume...mara wembamba ni michepuko...wafup sjui...nini haaa...kuna vtu vngne ni ushamba
Et kabila flan hawajui mapenz
Naamin humu wasomi ni weng...so achen ujinga...think kisomi positivly...ni hayo tuu

Tatizo lako unadhani kwamba hiyo miaka uliyoendea shule imekupa excuse ya kuponda experiences zilizokusanywa miaka zaidi ya mia kabla wewe hujazaliwa....ambazo by the way still watu wengi( walio wasomi sana tu) wanazikubali.
My point is , not all of them are wrong...
ukikaa kizembe zembe tunakupoteza tu...hapa kijiweni bana