Ukifanya haya, you’ll hurt her so bad

Ukifanya haya, you’ll hurt her so bad

Sasa kama genye huna hizo papuchi nne unazisakataje?
Ndo hvo..inabid ufosi tuu maana wanawake wenyew usipowatomb.a inakua tabu mtaani ila kiukwel nahis nahitaj a break from fuc.kin..nmefu.ck sanaa ..sanaa..yan nakumbukaga nikiwa shule uboyzini nilikua nawaza hiv ningekuja pataga papuch had nizikimbie kwel.manaa enz hzo tulikua tunapiga masta snaa papuch zilikua ni dhahab.ila sasa had mtu unazikimbia.wengne wanajitongozesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza vizuri ila hukujua kua ule uzi wa kula fruit kimasihara bado upo hewani unazidi kukata mawimbi

mchawi ni binadamu ,paka ni kijakazi
 
Ukigundua mwanamke aliwai kukupenda iwe sana or kawaida

Na at a point mkaachana kwa sababu mbalimbali either
1. Aliona anakupenda ndio ila huna future
2. Alikuacha tuu kwa ego na tama zake
3. She made u suffer

Get mad but dont do her bad fanya haya nakuahidi utakua umemuumiza vibaya mno

1. Be humble usimtukane usimlipizie..make her feel guilty kua yeye ndo chanzo cha kuachnaa kwenu

2. Endelea kuwasiliana nae ila kwa yeye akianzisha mawasiliano usinune wala kumjibu vibaya but hakikisha unakataa chochote anachokuvuta kwake mrudiane. Hata akija na chupi kwako kataa kusex nae, hatoamini

3.Kua positive na chochote atakachohitaj ila usimpe.anaweza omba msada mpe promise tuu ila usitimize

4. Akikumiss mwambie nawee umemmiss ila huwezi kua nae sababu una furaha kwingine

5. Na mengne mengi siwezi outline hapa

Nmefanya haya kwa wanawake wa3 wa maisha yangu ambao tho tulipendana ila tuliachana due to circumstances

Huwez amini wengine wameolewa ila hadi leo they blame me for being so fucking tormenting. Niko kwenye position hadi ya ku decide nifanye nini juu yao na wanakubali.

They adore me like crazy I can even **** them but bado lengo liko pale pale hurting them so bad huyo mke wa mtu sometime anaasafiri kikazi anakuja lala kwangu week siku 3 nilivyo mshenzi namlaza chumba cha wageni.

Do this my brother mwanamke hapigwi wala hatukanwo wala hateswi physicaly
huu ujinga siwezi fanya, nimejifunza nikipotezea napotezea mazima haina haja ya kumuumiza mtu nafuta namba nasahau, kuna kipindi nishawahi jaribu kuna kidemu kilinitendaga ,nikaumia tukazinguana nikasema sitakarudia kamwe.
kalianza kunicheki nikakakaushia, siku si kakaibuka room usiku nikasema sitakatafuna hata iweje...ilivyofika usiku wa manane askari halali nikiangalia mali hii hapa nikaona usinitanie hivi namkomoa au najikomoa...nikachapa sana na ugomvi ukaishiaga hapo.
nilichojifunza usipomtaka mtu mpotezee, kata mawasiliano mambo ya torture sijui visasi ni ushamba tu.

aim for the stars
 
Kuishi na chuki na visasi, mbaya sana kwa afya yako.
 
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa 😁😂😀😅😄😃
 
aisee..hiv kumbe kuna wanaovaa chup bado? mi huku kwen madem wangu wote wanavaa vile vidude vina kamba kamba hivi
 
Hayo mengine nayaweza ili hapa

"Hata akija na chupi kwako kataa kusex nae"

Hapo tu ndipo ulipokosea hilo jambo kusema kweli siliwezi na itakuwa haina maana ya mimi kumuumiza bila kumfariji kwa kumpatia mkate wa bwana...😅
Naimani kwa hilo wanaume wengi hatuliwezi😎
WANAUME HAWAWEZI AU WAVULANA!?

UKIJIONA UNAPATA WAKATI MGUMU AU UNASHINDWA KUJIDHIBITI KIHISIA AU KIMHEKO BASI JUA BADO UPO KWENYE SAFARI YA KUELEKEA KWENYE UANAMUME KUTOKA KWENYE UVULANA BILA YA KUJALI UMRI WAKO!

KUTIMIZA KILA HITAJI LA NAFSI NI TIKETI YA KUELEKEA KWENYE MAANGAMIZO!

A WORD IS ENEOUGH FOR THE WISE
 
Thread Hii Nzuri Ila Natabiri Tutaona Mengi Acha Watu Wajimwage
Ila Lazima Uangalie Namna Mlivyoishi Japo Wengine Wamewekeza Mno Kwa Wanawake

Tuishi Kwa Kuvumiliana Maisha Yatakwenda Kasi, Maisha Mafupi
Yapo Yanayovumilika, Yapo Mambo Mengi Sana Yasiyovumilika
 
muda uliowekeza kuandaa hizi mbinu kwa nin usiutumie kwenye mambo yenye tija kwa taifa?
 
huu ujinga siwezi fanya, nimejifunza nikipotezea napotezea mazima haina haja ya kumuumiza mtu nafuta namba nasahau, kuna kipindi nishawahi jaribu kuna kidemu kilinitendaga ,nikaumia tukazinguana nikasema sitakarudia kamwe.
kalianza kunicheki nikakakaushia, siku si kakaibuka room usiku nikasema sitakatafuna hata iweje...ilivyofika usiku wa manane askari halali nikiangalia mali hii hapa nikaona usinitanie hivi namkomoa au najikomoa...nikachapa sana na ugomvi ukaishiaga hapo.
nilichojifunza usipomtaka mtu mpotezee, kata mawasiliano mambo ya torture sijui visasi ni ushamba tu.

aim for the stars

Wee ndio una akili.... Papuchi ikijileta unagegeda tuu. Uzuri ile kitu haina makombo
 
WANAUME HAWAWEZI AU WAVULANA!?

UKIJIONA UNAPATA WAKATI MGUMU AU UNASHINDWA KUJIDHIBITI KIHISIA AU KIMHEKO BASI JUA BADO UPO KWENYE SAFARI YA KUELEKEA KWENYE UANAMUME KUTOKA KWENYE UVULANA BILA YA KUJALI UMRI WAKO!

KUTIMIZA KILA HITAJI LA NAFSI NI TIKETI YA KUELEKEA KWENYE MAANGAMIZO!

A WORD IS ENEOUGH FOR THE WISE
He he!
Mpaka wazee still wanabakaga!
Ukongwe huo wameshindwa vipi kujizuia..?
Au nawenyewe ni wavulana..?
Zipo mtu za makamu miaka 30 mpk 50 zinamichepuko na familia wanazo nao wameshindwa kujizuia hivyo niwavulana..??

Jasiri huwa haachi asili.
 
Nani Katuloga
 
Ukigundua mwanamke aliwai kukupenda iwe sana or kawaida

Na at a point mkaachana kwa sababu mbalimbali either
1. Aliona anakupenda ndio ila huna future
2. Alikuacha tuu kwa ego na tama zake
3. She made u suffer

Get mad but dont do her bad fanya haya nakuahidi utakua umemuumiza vibaya mno

1. Be humble usimtukane usimlipizie..make her feel guilty kua yeye ndo chanzo cha kuachnaa kwenu

2. Endelea kuwasiliana nae ila kwa yeye akianzisha mawasiliano usinune wala kumjibu vibaya but hakikisha unakataa chochote anachokuvuta kwake mrudiane. Hata akija na chupi kwako kataa kusex nae, hatoamini

3.Kua positive na chochote atakachohitaj ila usimpe.anaweza omba msada mpe promise tuu ila usitimize

4. Akikumiss mwambie nawee umemmiss ila huwezi kua nae sababu una furaha kwingine

5. Na mengne mengi siwezi outline hapa

Nmefanya haya kwa wanawake wa3 wa maisha yangu ambao tho tulipendana ila tuliachana due to circumstances

Huwez amini wengine wameolewa ila hadi leo they blame me for being so fucking tormenting. Niko kwenye position hadi ya ku decide nifanye nini juu yao na wanakubali.

They adore me like crazy I can even **** them but bado lengo liko pale pale hurting them so bad huyo mke wa mtu sometime anaasafiri kikazi anakuja lala kwangu week siku 3 nilivyo mshenzi namlaza chumba cha wageni.

Do this my brother mwanamke hapigwi wala hatukanwo wala hateswi physicaly

Una miaka mingapi? Chuo na Shule zifunguliwe ili muwe busy!

Kabla ujaona na kuishi na mwanamke at least kwa miaka 10 na mkawa na watoto, ushauri wa ndoa na wanawake ni theory tu!
 
Back
Top Bottom