Ukifa, usijali kuhusu mwili wako...!

...Baadhi ya Marafiki wanaanzia pale pale Makaburini Kwa Vicheko na Kepuana Stori wakati Hata hujafukiwa. Inahuzunisha....
 
Hii mada ukiisoma haraka unaona kama inatisha. Halafu ukiisoma kwa utulivu zaidi ni kama kuna vitu vinafunguka hivi halafu nakwama kuendelea kuvifikiri.
 
Repent and trust alone in Jesus as your personal Lord and Savior. You are sure of inheriting the gift of eternal life and live forever. This is the promise of God who can not lie.

Kwanini unafanya Ushirikina ?
 
Hapa ulikusudia Roho au ?

Nijuavyo mimi nafsi ni roho jumlisha Mwili. Mwili hufa na kuoza ila Roho hubaki milele.
Umenena vema kuna nafsi mbili. ..
1. Nafsi yenye utashi. Hii huundwa na muunganiko wa roho na mwili uharibikao
2. Nafsi ya roho.. Hii ni kibebeo(cord) cha roho baada ya roho kuachana na mwili.. Na hii ndio huamua next move ya roho.. Na ndio maana tunaambiwa kuna nafsi ndani ya nafsi..!
 
Hawajui walisemalo ni wa kuwaombea sana
Wengine kuwaacha tu, sababu wanafanya matumizi mabaya ya akili.

Unajua kifo kina kileci fulani hivi, sasa pale kwenye kile kilevi kila mtu lazima ataona vya kuona hata iwe ghafla chini ya sekunde moja. Pale ndipo watakapo jua ya kuwa ujumbe tuliwafikishia na muda hawako nao tena.
 
M

Kifo ni mwanzo sio mchakato.. Death is not a process is a state...!
Mbona tunatishana nmna hii?
 
kufa nimwanzo wa maisha mapya usiogope
 
Ayubu 22:21
Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Uyapokee, tafadhali, mafunzo yatokayo kinywani mwake, Na maneno yake yaweke moyoni mwako. Ukimrudia Mwenyezi, utajengwa; Ukiuondoa udhalimu mbali na hema yako. Nawe hazina zako ziweke mchangani, Na dhahabu ya Ofiri iweke kati ya mawe ya vijito; Naye Mwenyezi atakuwa hazina yako, Atakuwa ni fedha ya thamani kwako. Kwani ndipo utakapojifurahisha katika Mwenyezi, Na kuinua uso wako kumwelekea Mungu. Utamwomba yeye naye atakusikia; Nawe utazitimiliza nadhiri zako. Nawe utakusudia neno, nalo litathibitika kwako; Na mwanga utaziangazia njia zako. Hapo watakapokuangusha, utasema, Kuna kuinuka tena; Naye mnyenyekevu Mungu atamwokoa. Atamwokoa na huyo asiye na hatia; Naam, utaokolewa kwa sababu ya usafi wa mikono yako.
 
Ndoto yako inafanana kabisa na mafundisho ya Iman ya waislam,,,kwamba kuna Maisha baada ya kufa na kabla ya kufufuliwa,,,inaitwa Maisha ya barzak,,,kwamba ukishakufa roho inaingia ktk ulimwengu mwingine WA kusubiria baragumu/parapanda Kwa ajili ya kufufuliwa wote Kwa ajili ya siku ya hesabu/hukumu..na Maisha ya barzak ni ya majuto na hofu Kwa waovu na watatamani wasifufuliwe Kwa kuhofia hukumu na NI Maisha ya matumaini na Amani Kwa waliomuamin Mungu na kujitahidi kuishi Kwa kufuata Maamrisho yake na watatamani hukumu ifike haraka ili wakakutane na aliyewaumba na kulipwa mema.,.waislam wanaamin MTU anapokata roho anaoneshwa Maisha yake yote toka anazaliwa kisha anaoneshwa na hatma yake kama WA Motoni au peponi. Kwa hiyo majuto au matumaini yanaanzia wakati unakata roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…