Ukichunguwa Usichunguwe Utayajuwa.

Ukichunguwa Usichunguwe Utayajuwa.

Kumbesa

Senior Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
113
Reaction score
22
Jf.jpg Kuna sehemu ukipita unakutana na kila aina ya warembo kwa mfano huyu ni miongoni mwa Jf member unaweza kuamini hilo ?
 
hahaha ni actress huyo wewe,usitudanganye,.....:rolleyez:
 
.......kwa mfano huyu ni miongoni mwa Jf member unaweza kuamini hilo ?.......

Hata mimi nashangaaa kwanini NISIAMINI!

Kwani siku hizi ili uwe member wa JF lazima uwe na muonekano flan katika jamii? au lazima uwe ni mtu wa category flan??

Ngoja nipitie tena masharti ya kujiunga, huenda wameya-update maana kuna updates nyingi zimefanyika hapa jamvini.
 
Gabrielle Union si member wa JF....
 
Gabrielle Union si member wa JF....

. TIMING ... ni kweli Gabrielle Monique Union siyo memba wa JF .... ILA ... Jestina ni memba wa hapa JF!

Huyu ni Gabrielle Monique Union
url

Ila huyu hapa chini ni Jestina... wa JF

url
 
Last edited by a moderator:
Waafrika bana wazuri sana Mungu alitubariki sana tatizo letu akili za kijinga tuna kila kitu, we are truly blessed but we have turned everything against us....wanawake wazuri wako Afrika,wanamichezo wote hodari ni watu kutoka Afrika,Madini,Maji,Wanyama viko hapa Mungu katunyima Viongozi tu tungeitawala Dunia...
 
jamani eeeh huyo sio mie,ni gabrielle,nilichukua picha yake msije mkanipaisha nikaanza kupata PM za kumwaga wakati kiuhalisia mie ni kibibi chenye magego...lol:spy:
 
Hey man forgetting Obama the man from Kogelo Kisumu Nyanza President of the USA!!!!! Upo!!!

halafu kumbe kuna member wa JF ambaye kiuhalisia jina lake ni jestina,lol nilimuona kule kny group ya jamii forums facebook....ni mrembo haswaaa,naomba msisumbue kwa kudhani mie ni yeye maana i can be naughty here in jamii forums......:eek2:
 
Gabriele Union ,mchizi wangu Dwayne Wade anapiga hapo!!
 
jamani eeeh huyo sio mie,ni gabrielle,nilichukua picha yake msije mkanipaisha nikaanza kupata PM za kumwaga wakati kiuhalisia mie ni kibibi chenye magego...lol:spy:

Offffffffffffhh ,Asante kwa ufafanizi,maana mtakatifu hapa kiroho kishaniruka nikataka kukimbilia PM ,lakini nikasema ngoja nimalize kwanza kusoma komenti za watu ndio nikakuta komenti hii,doh asante sana..
 
Gabrielle Union huyo Ngozi ya Dwayne Wade wa Miami Heats.
 
jamani eeeh huyo sio mie,ni gabrielle,nilichukua picha yake msije mkanipaisha nikaanza kupata PM za kumwaga wakati kiuhalisia mie ni kibibi chenye magego...lol:spy:
Jestina, km una magego, basi sio kibibi; labda ungesema una mapengo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom