X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,790
- 15,016
wewe utakuwa unapenda za kiromantic bila shaka...mapenziiii mapenziI can watch all movies ila horror movies not in my list aisee, so far sjaona what is so good kuhusu hzo movies.
sijui ya mwaka gani ila itakuwa 2010 hivi.ya miaka....
Mimi sipendi movie za mazombie.I can watch all movies ila horror movies not in my list aisee, so far sjaona what is so good kuhusu hzo movies.
hapana mkuu mim napenda sna movie za action tena sio zile za kuamka na kuanza kupigana zile amabazo mpka uje uunganishe kisa ni mwisho wa movie.wewe utakuwa unapenda za kiromantic bila shaka...mapenziiii mapenzi
Mimi sipendi movie za mazombie.
I used to watch them way back lakini now sipendi movies za mazombie na ma wolvies kama twilight saga
sio sisi movie zetu mtu anatoka kijijini kuanzia mavazi yanaonekana mjini, mtu kapiga kalikiti, kuna 1 iliniacha hoi wameonyesha mazingira ya zamani lakini ofisini picha ya uncle magu nilichokaje aisee, na kuna 1 walicheza kama mateso ya Yesu cha ajabu mara bodaboda inapita sasa enzi za yesu kulikuwa na bodabodaJamaa wanajua sana kucheza na akili zetu..
umenichekesha eti boda boda inapitasio sisi movie zetu mtu anatoka kijijini kuanzia mavazi yanaonekana mjini, mtu kapiga kalikiti, kuna 1 iliniacha hoi wameonyesha mazingira ya zamani lakini ofisini picha ya uncle magu nilichokaje aisee, na kuna 1 walicheza kama mateso ya Yesu cha ajabu mara bodaboda inapita sasa enzi za yesu kulikuwa na bodaboda
yani kwa sisi bado sana, wanapayuka tu hata ile sauti kuchujwa hakunaumenichekesha eti boda boda inapita
Nipo ya s07e05Inaishia ya ngapi?nimecheki mpka ya 9 ila nahisi bado inaendelea
Angalia the Raid2Tuwekeeni na action movie za ukweli zinazofanana na Ninja za Boyka, Ninja ya Razor n.k...ambazo mkono ni wa ukweli na kama mtu apigwa panga au kisu damu yatapakaa kwenye screen ya laptop au kideo