miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
hapo nako pana utata halafu nakaribia kufumaniwa .. pesa achana nayoUmeolewa na unamichepuko minne huko utafikaje?
hapo nako pana utata halafu nakaribia kufumaniwa .. pesa achana nayoUmeolewa na unamichepuko minne huko utafikaje?
kashaachwaTeh teh na yule missyrose itaishia wapi?
bado mdogo .. ngoja niendelee na hawa waliozoea mikiki mikiki aiseeUkiamua kuwa na huyo jua kesho yake tunaambiwa Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi. Ukiuliza kisa wivu wa Mapenzi
ha ha haha utasikia alikuwa na kibamiaHongera
Atafungua uzi, kulalamika teh teh
katulia kama ananyolewa vileumeona bibi alivyorembua kakufunika mbaya!
umeona!bado mdogo .. ngoja niendelee na hawa waliozoea mikiki mikiki aisee
umeona!
nitanasuka aiseee
bado mdogo .. ngoja niendelee na hawa waliozoea mikiki mikiki aisee
Umemuv on na nan? Kimya kimya hata bila kuntaarifu....
huyu bibi na huyo babu nawajuwa ni wachaga wa rombo wanapendana sana kila mahali utawakuta pamoja kanisani hukaa pamoja cha kufurahisha ukienda kwake jion utamkuta huyo bibi akimsugua babu miguu....cha kushangaza wanalala vyumba tofauti