Ukianza na Mungu kufika hapa ni possible

Ukianza na Mungu kufika hapa ni possible

Na kweli alafu cha kushangaza kama kufa wanakufaga pamoja may be watapishana masaa au siku.
 
Tumwache mungu ashughulike na hili jambo kwa kiasi kikubwa ndipo tutakapofika hapo kama babu na bibi. All the best kwa wote wenye nia ya dhati

cute b na sumbai hao milele daima
 
Last edited by a moderator:
Mwamini yeye na uishi maisha yakutojichafua na uchafu wowote
 
mmmh wanaume wenyewe sisi wa sasa macho juu juu
 
Na haya masmartphone yetu...mwe!.. mungu atusaidie.,
 
Back
Top Bottom