UKIAMBIWA UCHAGUWE MLANGO WA KUINGIA UTAINGIA MLANGO UPI HAPOOoooo

UKIAMBIWA UCHAGUWE MLANGO WA KUINGIA UTAINGIA MLANGO UPI HAPOOoooo

1391868_225443947621750_919343221_n.jpg
Nitachagua mlangop wa katikati maana umebeba vyote
 
Siku zote kati kati ndio mpango mzima bana.
Maana hapo ndio kila kitu ukiingia mlango 1 na wa 3 nakama umekosa mlango namba 2 hakika utajuta milele
 
mlango wa pesa ukifunguka io milango mingine si ishu saana.
 
Lucky ndio habari ya mjini mengine yote tisa kumi LUCKY.
 
Back
Top Bottom