Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Yaani hata iwe asbh chapati lazima itoke!1
We ndio Kama mimi, watabaki kusema ugali unapunguza akili lakini twaweza kuula kuanzia asubuhi mpaka usiku na bado wakiwa na matatizo yao wanajisubmit kwetu eti "baba nanihii Kuna hili Jambo linanitatiza" 🤣🤣
 
Kidoogo chapati nitaipa credit kama kutakuwa na soup tena asubuhi tu.😊
 
Masaa mawili yaliyopita nimegonga ugali wa nguvu, dagaa + some vegies mpaka na maji ya kutosha ngoma inayeya hiyo mpaka usiku😄😄
 
Dah haya bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania tunahitaji elimu kubwa sana kuhusu masuala ya lishe.

Kuna kipindi fulani kuna jamaa nilikuwa naishi nao, walikuwa wanaishi kisela, sasa wao mida ya saa nne usiku unakuta wanagonga ugali mkubwa mithili ya mlima meru, baada ya hapo wanaingia kulala.
Kwa kweli nilikuwa nashindwa kuwashangaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom